nimekuzoea hadi tunafananaMadam anataka talaka.
Mke mwenza anataka talaka ujue!! Ananishawishi na mimi kwakweli.nimekuzoea hadi tunafanana
Zundu kipind hicho.
Pole. Fanya mazoezi swahiba wangu
Utakuja kufia kitandani mshikaji wangu akitumia cha mkongomani
Wakati hata mdako huuwezi tena?ahahahhahhahah nipo fit aiseee !
Hivi si umesema mwenyewe?Subutuuu!
hehehehe!Hii ndio imefanya soka letu lidumae unapiga unalenga goli mpira unaenda kushoto
Ili umfaidi peke yako eeeee.Madam anataka talaka.
We si ulitishia kumuacha mwenyewe!!!Ili umfaidi peke yako eeeee.
Talaka nitachukua nikiona amechana mbeleko.
Ila bado kwanza nakomaa na jiji nae.
Afu mwenza, kule umeniambia peke yako humuwezi....huku unatishia nyau!!!
Am watching youuuuu! !!!!!
Mwenza ushaanza visa vyako eeee.Hahahaaa!! Mke mwenza mbona unanisingizia jamani!! We daka tu!
Unajua kuna wanaume wengine mpaka umtie stata kwanza.We si ulitishia kumuscha mwenyewe!!!
Aondoke JF thubutu!!Mkuu si ulisema unaondoka JF
Ndio maana siyadaki magoli, asubirie kwanza kwakweli.Mwenza ushaanza visa vyako eeee.
Ukiamua kuwa na mtoto ujue uache shughuli zako zooote na ufunge kibwebwe miaka 4 bila kuruka majoka.
Kisa cha kwenda kunukisha watu maziwa Club next door inahusu mwenza.
We daka mwenyewe.....nitakusaidia.
Mie bado napepea viwanjani kwanza
Yaani dume kauzu hili acha kabisa!Unajua kuna wanaume wengine mpaka umtie stata kwanza.
Unapima nguvu ya moyo wake.
Ila kwa huyu...kauzu huyo.
Acha tukomae nae hivohivo