Enzi hizo!

Daa! aisee hii kitu siwezi isahau mzee alikuwa anamaind sana maana hata kula nilikuwa sikumbuki nikiwekwa kiungo mmaliziaji pale na mashoto yangu nilikuwa najiona kama messi vile[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Duh kitambo sana. Enzi izo tulikua tunaenda kucheza mpira shule ya Azimio iko mwanza. Kulikua na uwanja tunauita mabatini ilikua noma sana
 
Hii ndio imefanya soka letu lidumae unapiga unalenga goli mpira unaenda kushoto
 
wakati huo watu wana jiita ken mkapa, salum kabunda ninja, fikiri magoso, mau mkami. hussen masha mustafa hoza twaha hamidu noriega. muhamedi kachumbali.dua saidi magere masatu.fumo felisian
 
Enzi ilikuwa nikipiga kipute cha kufa mtu! Winga teleza, nikitupwa 7 twende nikitupwa 11 twende, napanda na kushuka na guu langu la dhahabu {mashoto}[emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] Kwenye penalti kipa lazima nimpeleke sokoni[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
jaman huo mpira enzi zetu tunacheza lede ukibabuliwa mgongon au uson dah ! nakumbuka nilikua nakwepa mipira ht km upo nusu mita kwangu dah !sasa hv mhhh ht mita 100 unanilenga tu dadek
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
jaman huo mpira enzi zetu tunacheza lede ukibabuliwa mgongon au uson dah ! nakumbuka nilikua nakwepa mipira ht km upo nusu mita kwangu dah !sasa hv mhhh ht mita 100 unanilenga tu dadek
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nilikuwa nikigoma kuingia uwanjani watu wanaandamana hata mwenye mpira anaweza kisepa na mpira wake
 
kesho ligi inaanza ya chandimu huku kwetu
namba 5 hapa kupiga shuti dhambi naficha foward zoootee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…