hahah kweli kale ka mlio da farkhina kalikua maridhawa kabisa
Na mwanga wake green light mie pendaaa🙂🙂🙂
Last edited by a moderator:
hahah kweli kale ka mlio da farkhina kalikua maridhawa kabisa
halafu kwenye ringing tone ndio utachokaNa mwanga wake green light mie pendaaa🙂🙂🙂
Mamangu alianza na hiyo Philips na aliipenda balaa hadi anafariki dunia nilijaribu mara kibao kumletea simu nyingine alikataa katu katu!!!!!
mi nlikua natumia buzz.
Mehadithiwa.... alafu step father wangu alikua nayo alcatel😛😛😛😛
Mehadithiwa.... alafu step father wangu alikua nayo alcatel😛😛😛😛
Hizo zote bado za kisasa, hii je?
Enzi za mawe hazikuisha kwa sababu watu waliishiwa mawe?
Innovation Blaza!
![]()