Enzi hizo ukimaliza kuogeshwa!

Enzi hizo ukimaliza kuogeshwa!

Tulioogeshwa kwenye MABELE gonga like kimya kimya[emoji849]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1087531
Hapa kabla ya kuogeshwa, namwambia dada nina kidonda pale,hapa,kule,kule,hapa na pale. Cha ajabu akianza kuniogosha anasugua vidonda vyote! Kuoga ilikuwa adhabu siku nikiepuka kuoga nilikuwa nasikia raha sana!
 
Back
Top Bottom