Marekani angekuwa mnyonge Putin angeshaibeba Alaska kibabe

Marekani angekuwa mnyonge Putin angeshaibeba Alaska kibabe

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,727
Reaction score
13,466
Putin huwa anadeal na wanyonge tu ila Hadi leo Alaska anajuta kwa nini lile eneo waliuziwa wamarekani na Russia enzi hizo kwa jinsi jamaa alivyokuwa na tamaa Usa angekuwa mnyonge angeshalichukua lile eneo kama crimea alivyolinyakua kibabe[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom