• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Enzi hizo je wewe umesha wahi kupitia mchezo huu?

dfreym

dfreym

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2010
Messages
336
Points
195
dfreym

dfreym

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2010
336 195
Dah. Kweli dunia imebadilika. Siwaoni watoto wa siku hizi wakihanga ika na vitu kama hivi zao ni tv, game na ngumi.
 
ICHANA

ICHANA

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Messages
4,781
Points
2,000
ICHANA

ICHANA

JF-Expert Member
Joined May 10, 2012
4,781 2,000
Umenikumbusha mbali kukata maganda ya nyanya na chenga za mchele upo busy kupika
 
Kertel

Kertel

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2012
Messages
3,728
Points
2,000
Kertel

Kertel

JF-Expert Member
Joined May 11, 2012
3,728 2,000
haya ndo mambo mkmaliza 2 mnacheza na kombolela wakat wakombolela kinaingia kibaba na mama mama
 
leonardo da vinc

leonardo da vinc

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2014
Messages
1,105
Points
2,000
leonardo da vinc

leonardo da vinc

JF-Expert Member
Joined Apr 25, 2014
1,105 2,000
Hasa mida ya jioni ilikuwa inapendeza!
 
M

MAKAH

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2010
Messages
1,589
Points
0
M

MAKAH

JF-Expert Member
Joined Sep 27, 2010
1,589 0
watoto hapo wanaonesha jinsi mume na mke wanavyoweza saidiana katika kazi za nyumbani -lakini wakikua sijui wapi wanapewa sumu ya kumuachia kazi zote mwanamke
 
kisungu

kisungu

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2013
Messages
789
Points
225
kisungu

kisungu

JF-Expert Member
Joined Feb 20, 2013
789 225
Hao wanaonekana wana miaka kumi... Taifa kama hili ni bomu la kesho
 
Bishop Hiluka

Bishop Hiluka

Verified Member
Joined
Aug 12, 2011
Messages
6,184
Points
2,000
Bishop Hiluka

Bishop Hiluka

Verified Member
Joined Aug 12, 2011
6,184 2,000
Dah! Kitambo sana, hasa kwa sisi tuliokuwa na madada wakubwa kutuzidi,
tulikuwa hatuchezi mbali na ubwabwa wa kwenye vifuu...
 
alma gemela

alma gemela

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2013
Messages
845
Points
195
alma gemela

alma gemela

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2013
845 195
Umenikumbusha mbali sana. Wavulana wanawinda ndege wasichana tunapika na vikopo vya nyanya au beef tunaenda kwa mangi kudokoa mchele.

Watoto wa siku hizi hawapiki wao ni computer games na facebook
 
farkhina

farkhina

Platinum Member
Joined
Mar 14, 2012
Messages
14,749
Points
2,000
farkhina

farkhina

Platinum Member
Joined Mar 14, 2012
14,749 2,000
Heee hao wanaopuliza wasipoangalia sufuria pindu lol

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Sita Sita

Sita Sita

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2008
Messages
1,243
Points
1,225
Sita Sita

Sita Sita

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2008
1,243 1,225
niiice.... huko ndo tulijifunza kuwasha majiko ya kuni na mkaa.
Playing and learning
 
Q

Qsm

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2008
Messages
413
Points
225
Q

Qsm

JF-Expert Member
Joined Dec 11, 2008
413 225
yaani tumekumbuka mbali sana! hawa dot.com ndo maana wengine wakiolewa tunarudishiwa tena kama miezi mitatu hivi ili wajifunze kupika! majanga!
 

Forum statistics

Threads 1,406,209
Members 532,237
Posts 34,508,800
Top