Enyi wanawake wa JF. . . . !!!!

Mmh kuna raha yake kuwa na mwanaume aliye na experience kwenye hayo mambo! Sasa mambo ya beginners...daah.. But either way taratibu atazoea..na pengine akaja kuwa mtaalam balaa..
Ila unataka kusema wewe ni (wanaitaje vile "virgin" au?) Mh..


Hiyo ni kweli aisee, mtu anaweza kuwa mashamba lakini akionja utamu alafu akakutana na mkufunzi, walahi nakuambia mwanafunzi atamzidi mwalimu wake.
 
Hebu niambie,maana yake nini?

upendo kwangu mimi Eiyer ni hisia zinazozaliwa ndani ya moyo wangu juu ya mtu fulani, ambazo, haziwez kubadilishwa na kitu chochote kile kiwe ni mazingira au mtu. hisia hizi hazihusudu wala kuhesabu mabaya, bali huvumilia na kutakabari tena hupenda kutenda mema juu ya mtu husika.

lakin upendo huu umegawanyika kuna upendo ule wa mzazi na mtoto ambao huu upo tu na huishia kuwa na hisia za undugu na ukaribu uliotokana na utegemezi. ambapo hapa huzaa pia upendo wa kirika nk

pia kuna upendo wa mtu na mwenzi wake huu huishia kuwa na hisia za kipatina zaid za kutamani kummiliki na kumfanya mtu wako wa karibu zaid. upendo huu hautegemei hela wala mazingira bali hutegemea zaid mvuto wa ndani irrespective of any other factor. huu ni mgumu kuujua kwani waweza pia kubadilishwa kwa matamanio ambayo nayo yana tabia kama za upendo tofauti ikawepo kwenye muda tu kwamba upendo hudumu milele but matamanio hukoma baada ya muda fulani.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom