enyi wana JF nani aliyenilogaaa?

Mr Rocky sasa ndio unataka wanimalizie kabisa bro,..siwezi kumtaja ila ni mmoja wa wale wanaotafutwa sana humu JF
top 3 ladies you know
BAGAH humu kila mke wa mtu anajulikana we ficha ficha tuu siku unakuja kushtuka Baba V kashamtangazia ndoa
 
Last edited by a moderator:
BAGAH ujue hapo ndoa itamuumbua unajikuta unaambiw amke wako ni mke wa mtu huruhusiwi kumgusa
 
Last edited by a moderator:
kwa iyo mkuu wewe roho tuuu, huko kwingine unabaachia?

Hahaha...nimerudi mkuu, roho na mwili vyote nimerudi navyo, zaidi nimerudi na mtoto wa kimanga...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…