Enyi wake zetu mkiwa kwenye period acheni Kua na kiburi

Mwanaume anayeshindwa uvumilivu wa kadhia za kipindi cha siku 4 hadi 7 kwa mwezi sidhani kama anafaa kumpa mimba mwanamke. Maana kadhia za miezi 9 hizo za siku 4 hadi 7 cha mtoto.

NB: Nashangaa kujadili hedhi mtandaoni, tukio la siri (mwandani mwa) la mwanamke..... tena mkeo......

Makosa haya lawama zinarudi kwenye kizazi kilichoacha kirithisha wajibu wa mwanaume /mwanamke. Mafunzo ya namna ya kuwa mume/baba, mke / mama hayafundishwi shuleni bali nyumbani na wazazi. Wazazi na walezi wa hiki kizazi nao hawakurithishwa hiyo elimu.

Japo siko kwenye ndoa ila nimejiskia fedheha.....
 
Huu mtindo wa wanwake wanakua na kiburi na jeuri wakiwa period Inaboa Sana.

Unakuta unauliza swali anajibu kwa jeuri ama anajifanya hasikii.

Namna hii tukichepuka msitulaumu.

Wanaume wale wanaokutana na changamoto ya namna hii kwenye ndoa zenu kujeni hapa tuwaseme hawa watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Daaaa mkuu yaani umeongea mulemule, yaani mi huwa najibiwa kwa jeuri hadi huwa nahisi nilikosea kuoa
 
Huu mtindo wa wanwake wanakua na kiburi na jeuri wakiwa period Inaboa Sana.

Unakuta unauliza swali anajibu kwa jeuri ama anajifanya hasikii.

Namna hii tukichepuka msitulaumu.

Wanaume wale wanaokutana na changamoto ya namna hii kwenye ndoa zenu kujeni hapa tuwaseme hawa watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ungepewa kwa siku moja hiyo hedhi sijui utampiga huyo mwanamke??
 
Mwanaume anayeshindwa uvumilivu wa kadhia za kipindi cha siku 4 hadi 7 kwa mwezi sidhani kama anafaa kumpa mimba mwanamke. Maana kadhia za miezi 9 hizo za siku 4 hadi 7 cha mtoto.

NB: Nashangaa kujadili hedhi mtandaoni, tukio la siri (mwandani mwa) la mwanamke..... tena mkeo......

Makosa haya lawama zinarudi kwenye kizazi kilichoacha kirithisha wajibu wa mwanaume /mwanamke. Mafunzo ya namna ya kuwa mume/baba, mke / mama hayafundishwi shuleni bali nyumbani na wazazi. Wazazi na walezi wa hiki kizazi nao hawakurithishwa hiyo elimu.

Japo siko kwenye ndoa ila nimejiskia fedheha.....

kizazi cha pono ichi
 
Back
Top Bottom