Enyi Tigo,Ni kitu gani hiki?

Kama ni kweli hiyo tigo ni tatizo kubwa sana.
Hiyo ni kweli kabisa mdau. Mara ya kwanza sikuamini, nkapiga tena nikaambiwa hivyo.Nkapiga mara ya tatu........ hivyohivyo.Nikaamini wanamaanisha. Ila mdau mmoja hapa kanifafanulia kwamba tigo wanamfungia mteja ambaye amekopa sana muda wa maongezi na kushindwa kulipa.Nkaelewa.
 
Tigo wamenishangaza sana leo. Nimepiga simu yangu ya tigo namba o715xxxxxx kwenda tigo 0655xxxxxx.Mitambo ikaniambia hivi: "Samahani.Simu yako haiwezi kuunganishwa kwa sababu unayempigia hana salio la kutosha!"
Hii kitu tigo wameanza lini?
Yaani kama mtu hana salio la kutosha hawezi kupokea/kupigiwa simu? Maajabu!
Lekangai ripoti hiyo TCRA
 
Hao wagonjwa nini? Wanadhani Mimi Nipo nje ya nchi? Hebu Nipe number zao niwapandie hewani nione kama nao hawataunganishwa kwa kukosa salio..
 
kama umempigia mtu aliyeko maeneo ya moshi huko mara nyingi ndo huwa inafanya hvyo, maana mim mara nyingi huwa inanitokea nikamuuliza nnayempigia akanambia kule kwao kuna muda inasoma mtandao wa safari kwahiyo kumpata inakuwa maruweruwe na mim huwa inaniambia hvyo hvyo
Upo sahihi mkuu hata mm ni shuhuda Wa hilo
 
Hahahha Tigo huwa ni kama Mpenzi wangu wa kijijini nikienda ndipo namkumbuka na kukutana nae ila nikitoka kijijini basi sina muda nae tena.

Pole sana
 
Tigo wamenishangaza sana leo. Nimepiga simu yangu ya tigo namba o715xxxxxx kwenda tigo 0655xxxxxx.Mitambo ikaniambia hivi: "Samahani.Simu yako haiwezi kuunganishwa kwa sababu unayempigia hana salio la kutosha!"
Hii kitu tigo wameanza lini?
Yaani kama mtu hana salio la kutosha hawezi kupokea/kupigiwa simu? Maajabu!
Yaani hapo patamu zile lawama za hunipigiii zitapungua maana mtu unamwambia nilikupigia sana lakini hukuwa na salio
 
Tigo wamenishangaza sana leo. Nimepiga simu yangu ya tigo namba o715xxxxxx kwenda tigo 0655xxxxxx.Mitambo ikaniambia hivi: "Samahani.Simu yako haiwezi kuunganishwa kwa sababu unayempigia hana salio la kutosha!"
Hii kitu tigo wameanza lini?
Yaani kama mtu hana salio la kutosha hawezi kupokea/kupigiwa simu? Maajabu!
pole sana nahisi hiyo namba uliyopiga haipatikani na ameidivert kwenda namba yake nyingine so ili unganishwe kwenye hiyo namba yake nyingne lazima na hiyo uliyopiga hiwe na salio kwasababu nayo inakatwa kwa huduma ya diversion
 
Tigo wamenishangaza sana leo. Nimepiga simu yangu ya tigo namba o715xxxxxx kwenda tigo 0655xxxxxx.Mitambo ikaniambia hivi: "Samahani.Simu yako haiwezi kuunganishwa kwa sababu unayempigia hana salio la kutosha!"
Hii kitu tigo wameanza lini?
Yaani kama mtu hana salio la kutosha hawezi kupokea/kupigiwa simu? Maajabu!
Huyo uliyempigia atakua nje ya nchi anafanya roaming
 
Tigo wamenishangaza sana leo. Nimepiga simu yangu ya tigo namba o715xxxxxx kwenda tigo 0655xxxxxx.Mitambo ikaniambia hivi: "Samahani.Simu yako haiwezi kuunganishwa kwa sababu unayempigia hana salio la kutosha!"
Hii kitu tigo wameanza lini?
Yaani kama mtu hana salio la kutosha hawezi kupokea/kupigiwa simu? Maajabu!
Wakati wa kumpa Tigo huyu Yusuf Manji. Ndio kashaanza kututatua Marinda *****
 
Back
Top Bottom