Enyi mliooa, mlipataje wake?

Jambo la kwanza muhimu, kama unaamini katika MUNGU tenga muda, ikiwezekana ufunge uliombee sana jambo hilo weka hata signs ktk ombi lako.. mfano "nikiona ishara hii basi huyo ndiyo mke wangu"..

Mke mwema mtu hupewa na BWANA. Ila Mungu haangalii sura. Kwa hiyo usije kukataa uliyechaguliwa kwa kigezo cha sura

Hakuna njia bora ninayoweza kukushauri zaidi ya hii
 
Mwanamke inatakiwa utulize ubongo maana hii ni process na sio kutangatanga kila sehemu. Weka vigezo vyako japo hakna MTU atakaye kuwa na vitu vyote unavyo taka, ila ukiona baadhi anavyo vingne mtaelekezana huko mtakako kuwa. Be carefull
 
Mkuu nakushauri uende KANISA LA UFUFUO NA UZIMA PALE KUNA WATOTO KONKI
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unampeleka kwa gwajiboy [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
 
Mkuu.... Mimi naamini haya masuala ya kuoa ukikurupuka utaambulia sura na milupo.... Kikubwa wewe ni mtu mzima tena 30yrs? Jaribu kutulia na utafakari katika sehemu zote ambazo umekaa yaani kuanzia miaka 20's je, kuna mtu yeyote uliyewahi kumuona na ukahisi angekufaa?

Sometimes uhusiano huanza automatiki kama utajaribu kuituliza akili yako... Mimi na kushauri embu jaribu kwenda nyumbani kwa wazazi na ujaribu kuwa gusia hilo jambo naamini watakutajia mtu, jukumu lako baada ya wao kukushauri na kukutajia maana wazazi wetu wa kiafrika ukiingiza haya mambo hawachelewi kuropoka mtu ambaye watataka uwe naye..... Na hata kama wakimchagua usikurupuke kumwendea mapema mpeleleze kama anakufaa chukua kama hakufai, tulia na kuna siku utampata tu wakukufaa....
 
Unasumbuliwa na tatizo linaitwa msongo wa mawazo na ukizembea unakuwa mwendawazimu total
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] umenichekesha kijana
Kupata mwanamke wa kuoa sio kazi kubwa kiukweli kama wengi wanavyoaminishwa haswa kwenye kipengere cha kuchagua mke bora

Fanya hivi

Bila shaka tayali unao wanawake wawili au wanne hivi ambao ni nyapu zako kila ukiomba gemu huwa unakula !!!!![emoji15][emoji15][emoji15]
Usinishangae huo ndo uanaume kama huna basi hebu jitahidi uwe nao

Pili hakikisha unakuwa nao kwa zaidi ya mwaka ili kila mmoja umfahamu vizuri tabia zake
Na hapa namaanisha utawagundua tabia zao yupi anakupenda sana
Yupi anauchi mtamu
Yupi msafi yupi mchafu
Yupi anagubu na yupi mpole
Yupi anapenda kujishughulisha yupi anapenda uboss
Yupi mcheshi yupo yupo cool
Yupi msomi yupi darasa la saba
Yupi ana kipato yupi hana
Yupi mpenda mizinga yupi kazi kazi n.k

Halafu sasa fanya selection yako kutoka kwa hao na ufanye maamuzi ya kumwoa yeye
Hakika nakwambia hutajuta na nataka nikuonye kwamba usioe mwanamke ambaye umekutana nae miezi miwili mitatu then unakuja na mihemko ya ndoa
ITAKULA KWAKO MAZIMA NA HATUTAJUA TUKUSAIDIAJE
Zingatia mitongozo yako kwa hawa wanawake usiwatajie ndoa ili iwe rahisi kwao wasi pretend tabia zisizokuwa zao kwa sababu tu wana ahadi ya ndoa utaharibu
Tembea nao kama mahawala tu then usome mchezo kimya kimya
Chunga sana UKIMWI upo cheza salama !!!
Nakutakia mke mwema
 
Asante
 
Tatizo vijana mmeshatifuana sana. Sasa inafikia wakati wa kuoa/kuolewa kila mwanamke/mwanaume aliyekuzunguka ndo walewale mliotifuana so mnaonana sio. Women most of the times wanakuwa wako tayari kucompromise lakini vijana wa kiume hawataki. Yani nawahakikishia mtakaooana nao ndo hao hao mnapoteza muda tu!
We kamata any woman appealing arround eka kwa nyumba acha kuchaguachagua, wanawake ndo haohao

N.B haijalishi kama ni Single maza, msituchoshe. Kwani hizo mimba si mlitia wenyewe??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…