Nimepata funzo kubwa kwenye maisha, huwezi amini huyu ni rafiki yangu, kiasi hatuwezi pishana bila kusalimiana.
According to Micky jr, mtu WA michezo kadai kaka yangu kachaguliwa kuchezesha kombe la dunia, nimefurahi sana, kosa langu sikuomba contact, huwa si mtu wakujipendekeza, ila nilifanya...