Enough is enough, Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Mashinji anapwaya

Mheshimiwa Mbowe tafadhali na kamati kuu oneni kuwa Mashinji mmembeba kama mzigo na anaua chama! Katibu mkuu asiye kiranja mahiri hatufai Chadema! Mashinji aondoke kweli kweli!!
Siyo kauli njema kabisa kwa uhai wa chama.
 
Haiwezekani katibu mkuu wa Chadema kumaliza karibu mwaka mmoja bila kuwa na mkutano wake wa hadhara ambao anaiongoza yeye! Hapana haiwezekani! Haiwezekani katibu mkuu wa chama kikuu cha upinzani kama Chadema kutokushikiliwa katika mahakama yoyote ile nchini kwa madai ya uchochezi mwaka mzima tangu achaguliwe/ apitishwe! Sina maana kwamba aanzishe uchochezi, hapana ila kwa nchi kama Tanzania hii ya Magufuli haiwezekani katibu mkuu wa upinzani kuwa clean for all most one year! No! Big no!

Hivi huyu Dr. Mashinji amewahi kuangalia videos za Slaa kweli? Slaa alipita katikati ya michongoma na alikuwa active kwelikweli! Kule Kagera angekuwa Slaa alishaenda siku nyingiiii na serikali ingekuwa imeshakaa vikao kwa kauli ambazo angekuwa ametoa Slaa!!

No! Mashinji sioni jipya la kisiasa kutoka kwake zaidi ya kuvaa tu suti! We are done! Mashinji gooo..!

Mheshimiwa Mbowe tafadhali na kamati kuu oneni kuwa Mashinji mmembeba kama mzigo na anaua chama! Katibu mkuu asiye kiranja mahiri hatufai Chadema! Mashinji aondoke kweli kweli!!

CHADEMA ni makini. Unataka abwatuke kama "Mungu"
 
Engine ikiharibika chama chenu kitabaki kinapiga marktime miaka yote iliyobaki.
Leadership is not Title or academic qualifications. Mnahitaji Reformation ili Taifa liende.
Ndio maana kwenye Vita vya wenyewe kwa wenyewe US president Lincoln albadili mageneral mara nyingi tu kila alipoona upepo unamuelemea hadi akapata ushindi wa kuliokoa taifa lake akiwa na engine sahihi.

irudieni njia iliyo kuu, na mkajiulize mlikosea wapi.
 
Tushawaambia..
Dr. Slaa ni level nyingine...
Ninyi kwa unyumbu wenu mkaenda kudeki barabara huku mkimuita na kumkejeli na kumpa majina kama dr mihogo nk.

Unapoona leo hii mtu kama wewe unaleta thread hapa ya kumlinganisha Slaa na Mashinji, hakika inatia kinyaa.. Ccm wenyewe wanajua Slaa alikuwa mwiba! Aliye akiongea kitu wote wanabaki vinywa wazi wasijue la kufanya!

Ona sasa, utawala wa Magufuli una mapungufu mengi sana ambayo hata mm darasa la saba nayaona wazi kabisa, lakini ninyi mnaishia kumkejeli kwa kunukuu vikauli vya rais katika hituba zake! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Acha hizo wewe, Slaa nani kamkimbiza huko cdm? Alikimbia mwenyewe kwa udhaifu wake. Mwanaume gani unakimbia matatizo au kukimbia fisadi. Sasa alivyokimbia kamuchia nani kazi ya kupambana na mafisadi, ni sawasawa na mtu una shamba lako la maembe halafu unaowaona nyani kisha unakimbia ukidhani nyani wataacha kula hayo maembe. Imekaa hivi huyo Mashinji pamoja na Lowassa ndo wanaokifanya cdm kisinzie kwani hawajui aina ya siasa za cdm. Kibaya zaidi Mbowe anaonekana kaishiwa mbinu huku akiwa na siri binafsi kuhusu huyo Mashinji ya Lowassa.
 
Haiwezekani katibu mkuu wa Chadema kumaliza karibu mwaka mmoja bila kuwa na mkutano wake wa hadhara ambao anaiongoza yeye! Hapana haiwezekani! Haiwezekani katibu mkuu wa chama kikuu cha upinzani kama Chadema kutokushikiliwa katika mahakama yoyote ile nchini kwa madai ya uchochezi mwaka mzima tangu achaguliwe/ apitishwe! Sina maana kwamba aanzishe uchochezi, hapana ila kwa nchi kama Tanzania hii ya Magufuli haiwezekani katibu mkuu wa upinzani kuwa clean for all most one year! No! Big no!

Hivi huyu Dr. Mashinji amewahi kuangalia videos za Slaa kweli? Slaa alipita katikati ya michongoma na alikuwa active kwelikweli! Kule Kagera angekuwa Slaa alishaenda siku nyingiiii na serikali ingekuwa imeshakaa vikao kwa kauli ambazo angekuwa ametoa Slaa!!

No! Mashinji sioni jipya la kisiasa kutoka kwake zaidi ya kuvaa tu suti! We are done! Mashinji gooo..!

Mheshimiwa Mbowe tafadhali na kamati kuu oneni kuwa Mashinji mmembeba kama mzigo na anaua chama! Katibu mkuu asiye kiranja mahiri hatufai Chadema! Mashinji aondoke kweli kweli!!
Nyie hamna Katibu hapo, huyo ni TISS undercover!
Mbowe anaponzeka na tabia yake ya kubadili gear angani.
Kuna makamanda kibao nje lakini wote akawapuuzia
 
Anakihujumu chama anatoka kanda ya ziwa huyo. Atakuwa anakisaliti chama chini kwa chini , aondolewe awekwe kamanda Lema.
Sio tu anatoka kanda ya ziwa kubwa huyo ni TISS undercover
 
Tushawaambia..
Dr. Slaa ni level nyingine...
Ninyi kwa unyumbu wenu mkaenda kudeki barabara huku mkimuita na kumkejeli na kumpa majina kama dr mihogo nk.

Unapoona leo hii mtu kama wewe unaleta thread hapa ya kumlinganisha Slaa na Mashinji, hakika inatia kinyaa.. Ccm wenyewe wanajua Slaa alikuwa mwiba! Aliye akiongea kitu wote wanabaki vinywa wazi wasijue la kufanya!

Ona sasa, utawala wa Magufuli una mapungufu mengi sana ambayo hata mm darasa la saba nayaona wazi kabisa, lakini ninyi mnaishia kumkejeli kwa kunukuu vikauli vya rais katika hituba zake! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Gear angani imeangukia kwa senior TISS undercover
 
Hapana mkuu, Dr Slaa aliangalia katiba inasemaje. Huyu wa sasa anaogopa mtu!
Ukimtaja Dr. Slaa unajidhihirisha ulivyo uchi kifikra. Siamini hii thread ya G. Sam ninayefahamu humu JF.

1. Dr. Mihogo alijificha muda mrefu ndani ya CHADEMA akiwa anafanya kazi ya CCM hadi alipofadhiliwa akaishi CANADA.

2. Dr. Mihogo alipewa platform na mfumo ili mfumo utambe kuwa kuna demokrasia Tanzania.

3. Kusimamisha shughuli za kisiasa si bahati mbaya bali ni mkakati wa kunusuru mfumo mbele ya upinzani wa mfumo uliokosa mamluki ndani ya CHADEMA

4. Mpaka sasa sijaona udhaifu wa Katibu Mkuu Dr. Mashinji ndani ya mazingira ya utawala wa kidikteta uchwara uliopo.

5. Kwa kufanya kazi kimya kimya CHADEMA sasa inaungwa mkono na idadi kubwa ya washabiki na wanachama zaidi ya hapo awali.

6. Ni mfumo uliotaharuki baada ya kuona CHADEMA haiingiliki wala haiteteleki pamoja na kufanyiwa vitimbwi

7. Nashawishika kuwa wewe umekosa vyanzo vya umbeya wa kupeleka kwenye huu mfumo uchwara.

8. USISAHAU KIMYA NI JIBU PIA
 
G Sam nimekuelewa sana hoja yako lazima utambue majukumu ya Katibu Mkuu ni zaidi ya mikutano ya kisiasa pia hujui hali ya kisiasa iliyokuwepo?
Hujui kitu wewe, unayemtetea yuko kwenye payroll ya serikali, ni kijana wa serikali huyo so usitegemee kitu kipya toka kwake
 
Ukimtaja Dr. Slaa unajidhihirisha ulivyo uchi kifikra. Siamini hii thread ya G. Sam ninayefahamu humu JF.

1. Dr. Mihogo alijificha muda mrefu ndani ya CHADEMA akiwa anafanya kazi ya CCM hadi alipofadhiliwa akaishi CANADA.

2. Dr. Mihogo alipewa platform na mfumo ili mfumo utambe kuwa kuna demokrasia Tanzania.

3. Kusimamisha shughuli za kisiasa si bahati mbaya bali ni mkakati wa kunusuru mfumo mbele ya upinzani wa mfumo uliokosa mamluki ndani ya CHADEMA

4. Mpaka sasa sijaona udhaifu wa Katibu Mkuu Dr. Mashinji ndani ya mazingira ya utawala wa kidikteta uchwara uliopo.

5. Kwa kufanya kazi kimya kimya CHADEMA sasa inaungwa mkono na idadi kubwa ya washabiki na wanachama zaidi ya hapo awali.

6. Ni mfumo uliotaharuki baada ya kuona CHADEMA haiingiliki wala haiteteleki pamoja na kufanyiwa vitimbwi

7. Nashawishika kuwa wewe umekosa vyanzo vya umbeya wa kupeleka kwenye huu mfumo uchwara.

8. USISAHAU KIMYA NI JIBU PIA
Umekuja sasa tulijua tu utajitokeza, unamsema silaha kufadhiliwa na CCM! Na wewe acha ule mshahara wa TISS tukujue kama wewe ni mpambanaji kweli
 
Anakihujumu chama anatoka kanda ya ziwa huyo. Atakuwa anakisaliti chama chini kwa chini , aondolewe awekwe kamanda Lema.
lema atakua yuko lupango au mahakamani saa zote. kama ndio mnavyotaka..sawa.
 
Haiwezekani katibu mkuu wa Chadema kumaliza karibu mwaka mmoja bila kuwa na mkutano wake wa hadhara ambao anaiongoza yeye! Hapana haiwezekani! Haiwezekani katibu mkuu wa chama kikuu cha upinzani kama Chadema kutokushikiliwa katika mahakama yoyote ile nchini kwa madai ya uchochezi mwaka mzima tangu achaguliwe/ apitishwe! Sina maana kwamba aanzishe uchochezi, hapana ila kwa nchi kama Tanzania hii ya Magufuli haiwezekani katibu mkuu wa upinzani kuwa clean for all most one year! No! Big no!

Hivi huyu Dr. Mashinji amewahi kuangalia videos za Slaa kweli? Slaa alipita katikati ya michongoma na alikuwa active kwelikweli! Kule Kagera angekuwa Slaa alishaenda siku nyingiiii na serikali ingekuwa imeshakaa vikao kwa kauli ambazo angekuwa ametoa Slaa!!

No! Mashinji sioni jipya la kisiasa kutoka kwake zaidi ya kuvaa tu suti! We are done! Mashinji gooo..!

Mheshimiwa Mbowe tafadhali na kamati kuu oneni kuwa Mashinji mmembeba kama mzigo na anaua chama! Katibu mkuu asiye kiranja mahiri hatufai Chadema! Mashinji aondoke kweli kweli!!
Naunga mkono hoja,Huyu mtu hafai kwa kweli, Hivi unajua kuna wapenzi/wakereketwa,wafuasi na wanachama wa CHADEMA kwa hakika hawamfahamu huyu Mashinji japo kwa sura?.Mbowe alimtoa wapi huyu?Hat kma ni mwanamikakati mzuri basi wangeendelea kumtumia kwa namna nyingine lakini kwa level ya Katibu mkuu hafai kabisa.
 
Back
Top Bottom