Enough is enough, Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Mashinji anapwaya

Ukimtaja Dr. Slaa unajidhihirisha ulivyo uchi kifikra. Siamini hii thread ya G. Sam ninayefahamu humu JF.

1. Dr. Mihogo alijificha muda mrefu ndani ya CHADEMA akiwa anafanya kazi ya CCM hadi alipofadhiliwa akaishi CANADA.

2. Dr. Mihogo alipewa platform na mfumo ili mfumo utambe kuwa kuna demokrasia Tanzania.

3. Kusimamisha shughuli za kisiasa si bahati mbaya bali ni mkakati wa kunusuru mfumo mbele ya upinzani wa mfumo uliokosa mamluki ndani ya CHADEMA

4. Mpaka sasa sijaona udhaifu wa Katibu Mkuu Dr. Mashinji ndani ya mazingira ya utawala wa kidikteta uchwara uliopo.

5. Kwa kufanya kazi kimya kimya CHADEMA sasa inaungwa mkono na idadi kubwa ya washabiki na wanachama zaidi ya hapo awali.

6. Ni mfumo uliotaharuki baada ya kuona CHADEMA haiingiliki wala haiteteleki pamoja na kufanyiwa vitimbwi

7. Nashawishika kuwa wewe umekosa vyanzo vya umbeya wa kupeleka kwenye huu mfumo uchwara.

8. USISAHAU KIMYA NI JIBU PIA

Usishangazwe na huyo kijana kichwani ni mtupu!! Uzuri utawala huu ni kama nyoka naafuta!! Mpaka 2020 nyoka wote watajulikana!!

Wakati mambo yakisonga mbele huku hatari ikiwa kubwa tayari vichwa maji aina ya mleta mada wanatamani kurejea nyuma!!

Wakati hata wanaCCM wamechoshwa na maigizo yao wanaibuka vizabi zabina waliojibanza upinzani kuonesha eti upinzani unalala ilhali CCM imeamka!!
Kinyaa sana!
 
laana na kivuli cha Dr slaa hakitaishia hapa tu kitatafuna sana
Juzi ulileta thread ya kumtamani Lowassa!! Hii ilidhihirisha tayari umelowa!! Leo unaona laana kwa chama kilichokupa fikra za kumtamani Lowassa?

Kama nilivyosema utawala huu ni kama mafuta ya taa na nyoka!! Mpaka 2020 nyoka wote mtachomoka mapangoni mkigaagaa!!
 
Ukimtaja Dr. Slaa unajidhihirisha ulivyo uchi kifikra. Siamini hii thread ya G. Sam ninayefahamu humu JF.

1. Dr. Mihogo alijificha muda mrefu ndani ya CHADEMA akiwa anafanya kazi ya CCM hadi alipofadhiliwa akaishi CANADA.

2. Dr. Mihogo alipewa platform na mfumo ili mfumo utambe kuwa kuna demokrasia Tanzania.

3. Kusimamisha shughuli za kisiasa si bahati mbaya bali ni mkakati wa kunusuru mfumo mbele ya upinzani wa mfumo uliokosa mamluki ndani ya CHADEMA

4. Mpaka sasa sijaona udhaifu wa Katibu Mkuu Dr. Mashinji ndani ya mazingira ya utawala wa kidikteta uchwara uliopo.

5. Kwa kufanya kazi kimya kimya CHADEMA sasa inaungwa mkono na idadi kubwa ya washabiki na wanachama zaidi ya hapo awali.

6. Ni mfumo uliotaharuki baada ya kuona CHADEMA haiingiliki wala haiteteleki pamoja na kufanyiwa vitimbwi

7. Nashawishika kuwa wewe umekosa vyanzo vya umbeya wa kupeleka kwenye huu mfumo uchwara.

8. USISAHAU KIMYA NI JIBU PIA
Wewe utakuwa ULIPO TUPO hakyamama ....huijui Chadema
 
Jiongeze kidogo na wewe...kuanzia leo unajibu post zangu naziandika sina muda wa kumwelimisha mgonjwa
Hujui kitu wewe, unayemtetea yuko kwenye payroll ya serikali, ni kijana wa serikali huyo so usitegemee kitu kipya toka kwake
 
Umekuja sasa tulijua tu utajitokeza, unamsema silaha kufadhiliwa na CCM! Na wewe acha ule mshahara wa TISS tukujue kama wewe ni mpambanaji kweli
Mimi najitegemea kwa zaidi ya miaka arobaini sina sababu ya kumbembeleza mtu kwa sababu simtegemei mtu wala sipokei amri toka kwa ye yote. Niko huru mia ya mia. Uchwara na wewe kwangu hamna nafasi
 
Katibu mkuu gani hata akipita kariakoo watu hawamtambui hivi mi mwenyewe naweza kupishana nae nisimtabue!he should adress his supporters more often!
 
Acha kujifanya hujui slaa alikuwa na backup kubwa nje ya chama kuanzia wale majeruhi ya wanamtandao na hata kwa vatican kupitia pengo ndio maana alioata mwanya mkubwa sana unahisi kwa sasa unatoka vp wkt kuna tiss imara na hata akina pengo wako pamoja na sirikali think big
 
Mashinji ni dalili ya awali ya ugonjwa, chanzo ni Mbowe; ugonjwa wenyewe ni Lowassa.
Mgonjwa wa aina yako lazima ujifananishe na wazima ili ujifariji. Ila inajulikana mficha ficha maradhi kama wewe subiri kuumbuka
 
Waliokuwa wanatetea uovu wanmeanza ona mwanga.

Mwisho kila mmoja wetu atajua maana ya kuwa na kiongozi asiyejitambua.
 
  1. Mashinji anafanya siasa kisayansi, siasa za kwenye laptop na computer, twitter..siasa za majukwaani na maandamano amemuachia Mbowe.....
Mashinji ni wale jamaa wa suti nyeusi. Kapelekwa chadema kwa kazi maalum.
Watu wasipokuwa makini ndio mwisho wa upinzani
 
Ukimtaja Dr. Slaa unajidhihirisha ulivyo uchi kifikra. Siamini hii thread ya G. Sam ninayefahamu humu JF.

1. Dr. Mihogo alijificha muda mrefu ndani ya CHADEMA akiwa anafanya kazi ya CCM hadi alipofadhiliwa akaishi CANADA.

2. Dr. Mihogo alipewa platform na mfumo ili mfumo utambe kuwa kuna demokrasia Tanzania.

3. Kusimamisha shughuli za kisiasa si bahati mbaya bali ni mkakati wa kunusuru mfumo mbele ya upinzani wa mfumo uliokosa mamluki ndani ya CHADEMA

4. Mpaka sasa sijaona udhaifu wa Katibu Mkuu Dr. Mashinji ndani ya mazingira ya utawala wa kidikteta uchwara uliopo.

5. Kwa kufanya kazi kimya kimya CHADEMA sasa inaungwa mkono na idadi kubwa ya washabiki na wanachama zaidi ya hapo awali.

6. Ni mfumo uliotaharuki baada ya kuona CHADEMA haiingiliki wala haiteteleki pamoja na kufanyiwa vitimbwi

7. Nashawishika kuwa wewe umekosa vyanzo vya umbeya wa kupeleka kwenye huu mfumo uchwara.

8. USISAHAU KIMYA NI JIBU PIA
Chadema ipi iliyokosa mamluki wa ccm?
 
Back
Top Bottom