Enough is enough, Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Mashinji anapwaya

Enough is enough, Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Mashinji anapwaya

Naomba kuhamasisha wapenda maendeleo wote wa BAVICHA, BAWACHA, na hata balaza la wazee la CHADEMA kuanzia Jumatatu ijayo tumtoe huyu katibu mkuu aliyefail ndugu Mashinji kwa maandamano makubwa ya kumpinga na kumfungia ofisi.

Mimi ntashughulikia vibali vyote vya maandamano. Katibu mkuu gani kashindwa kila idara, hajui alifanyaro, hana mikakati, haitishi vikao vya kimkakati, hana malengo na HATA UBUNIFU kakosa.

Siku hizi watu wanadhani JOHN MALYA ndo katibu mkuu wa CHADEMA, Mwaka mzima tangu aingie madarakani kwa mbwembwe lakini tathmini inaonyesha anafail vibaya. Hakuna la maana alilofanya, mpaka sasa katoa press release mbili tu.

Hapa ufipa tunatamani bora hata kamanda ben saanane angepewa hiyo nafasi, kama waliona makamanda nguli kama Mnyika, Lissu, Kubenea, salum Mwalimu, hawafai. Bora hata Waitara na Heche.

Makamanda mnaoniunga mkono tumtoe huyu jamaa chama kinatufia mikononi hiki.

Nawasilisha nikiwa ofisi ndogo ya Ufipa hapa Arusha, nimekuja kufuatilia kesi ya KAMANDA MKUU LEMA.
TOO MUCH WORDS...BUT THERE IS NO POINT...
 
Amini usiamini....katibu mkuu wa Chadema ni kichwa haswa haswa...Mpango wake mmoja tu ulitikisa nchi...UKUTA.Sheria lazima zifuatwe na heshima lazima iwepo.Mh.Rais akitoa agizo lazima litekelezwe....haitakuwa busara kwa Katibu Mkuu wa Chadema kuvunja sheria.NI MZURI KULIKO MAKATIBU WENGI.
 
Sasa afanye nini wakati shughuli za kisiasa zimepigwa marufuku?
 
Back
Top Bottom