Kuhusu English Test ili uweze kupata scholarship

Godbless .m.

Member
Joined
Dec 3, 2011
Posts
48
Reaction score
11
Hi guys! Mimi ninekuwa nikitamani siku nyingi sana kusoma nje ya nchi Masters degree ila kuna suala linanitatiza sana kuhusu IELTS (International English Language Testing System) sijajua naweza wapi kufanya hii test ili niweze timiza ndoto zangu. Mimi Niko Arusha kwa mtu yeyote anayeweza nisaidia kwa information please do it right here. Najua wengi wanapenda kufahamu kuhusu hili pia.
Sincerely
Godbless.
 
Hiyo mitihani inafanyika kila mwezi hivyo ukilipa unatakiwa uchague utafanya lini huo mtihani pia nivizuri ukajiandaa pia ukiona vyema weka namba yako nikuunganishe kwenye group la Scholarship huko utapata detail nyingi zaidi
 
MKUU NENDA PALE BRITISH COUNCIL UTAPATA ILECTS,GHARAMA KWAMWAKA HUU NI 460,000/=CHETI NI NDANI YA WIKI 3,Wanataka uwe na Passort Pia.Unaweza apply online kwakuingia katika website ya British COUNCIL,pia utapata ratiba ya Dar au Arusha
Na online inahitaji kufanya hiyo mitihani?
 
M
Hiyo mitihani inafanyika kila mwezi hivyo ukilipa unatakiwa uchague utafanya lini huo mtihani pia nivizuri ukajiandaa pia ukiona vyema weka namba yako nikuunganishe kwenye group la Scholarship huko utapata detail nyingi zaidi
Mkuu niunge nami kwenye hilo group mkuu 0712083742.ahsanteh.
 
Unataka kusoma nchi gani hasa, unaweza kuwa wazi zaidi. Wakati mwingine hiyo ni njia yao ya kupata pesa japo kuna nchi au hata vyuo hata havihitaji hiyo mambo. Mimi nimesoma nchi mbili sasa na zote sijawahi wapatia hiyo.
 
Hiyo mitihani inafanyika kila mwezi hivyo ukilipa unatakiwa uchague utafanya lini huo mtihani pia nivizuri ukajiandaa pia ukiona vyema weka namba yako nikuunganishe kwenye group la Scholarship huko utapata detail nyingi zaidi
0714363793 niunganishe na mm
 
Hiyo mitihani inafanyika kila mwezi hivyo ukilipa unatakiwa uchague utafanya lini huo mtihani pia nivizuri ukajiandaa pia ukiona vyema weka namba yako nikuunganishe kwenye group la Scholarship huko utapata detail nyingi zaidi
0714363793 group la scholarship
 
Hiyo mitihani inafanyika kila mwezi hivyo ukilipa unatakiwa uchague utafanya lini huo mtihani pia nivizuri ukajiandaa pia ukiona vyema weka namba yako nikuunganishe kwenye group la Scholarship huko utapata detail nyingi zaidi
Niunganishe group la Scholarship mkuu namba 0713 724242.
 
Hiyo mitihani inafanyika kila mwezi hivyo ukilipa unatakiwa uchague utafanya lini huo mtihani pia nivizuri ukajiandaa pia ukiona vyema weka namba yako nikuunganishe kwenye group la Scholarship huko utapata detail nyingi zaidi
Naomba niunganishe na hilo group mkuu 0754871192
 
Unataka kusoma nchi gani hasa, unaweza kuwa wazi zaidi. Wakati mwingine hiyo ni njia yao ya kupata pesa japo kuna nchi au hata vyuo hata havihitaji hiyo mambo. Mimi nimesoma nchi mbili sasa na zote sijawahi wapatia hiyo.
Nataka Norway au Denmark mkuu
 
Hi guys! Mimi ninekuwa nikitamani siku nyingi sana kusoma nje ya nchi Masters degree ila kuna suala linanitatiza sana kuhusu IELTS (International English Language Testing System) sijajua naweza wapi kufanya hii test ili niweze timiza ndoto zangu. Mimi Niko Arusha kwa mtu yeyote anayeweza nisaidia kwa information please do it right here. Najua wengi wanapenda kufahamu kuhusu hili pia.
Sincerely
Godbless.
british cancelling/
 
Hiyo mitihani inafanyika kila mwezi hivyo ukilipa unatakiwa uchague utafanya lini huo mtihani pia nivizuri ukajiandaa pia ukiona vyema weka namba yako nikuunganishe kwenye group la Scholarship huko utapata detail nyingi zaidi

0765372929
Tafadhali kaka Lucas niunganishe na hilo group la scholarship nina shida ya kufanana na hiyo
 
Unataka kusoma nchi gani hasa, unaweza kuwa wazi zaidi. Wakati mwingine hiyo ni njia yao ya kupata pesa japo kuna nchi au hata vyuo hata havihitaji hiyo mambo. Mimi nimesoma nchi mbili sasa na zote sijawahi wapatia hiyo.

Mi nataka kwenda kusoma Netherlands au Sweden
 
Back
Top Bottom