cutelove
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 3,317
- 7,509
Kama mbwahi iwe mbwahi,Si wakenya wanataka kutuvuruga
Shule nyingi za private kuanzia chekechea hadi vyuo vikuu wamejaza wakenya hapa Tanzania
Hili lipo wazi watu wa Kenya ndo wamejazana kwenye taasisi hizi za Elimu za kibinafsi
Sio humo tu,hosptali,vituo vya afya migodi wamo wakenya tena wengi mno
Kila mwaka vijana zaidi ya maelfu wanahitimu vyuo mbalimbali lakini wanalalamika hawana ajira na huku wakenya wamejazana humo kisa wanajua kiingereza cha kuombea maji ya kunywa
Serikali ya Tanzania tunaomba iangalie hili upya ,na wakenya hawa hawana vibali vya kufanya kazi Tanzania