Kama uhitaji wa walimu ni mdogo kwa nini wanatengeneza walimu wengi?? Kuna tatizo sehemu.3% TU ndio shule za private nchi nzima,juzi kati tamisemi walizangaza ajira za waalimu yakapokelewa maombi 94500.lakini walioajiriwa ni 4500 tu kama serikali haiwataki kiasi hicho private mtaenda kufanya nini??fundishaneni kiswahili chenu huko huko,
Wewe ukijenga shule ya English Medium utaajiri waaalimu sampuli ya akina Bashite kweli?Utazibadilisha ziwe za Kiswahili? Mengine nadhani hayawezekani.
Yote haya tunaweza kuyaita mafanikio ya CCM, au sio? Maanake sasa kila jambo CCM ndio wafanikishaji.Kama mbwahi iwe mbwahi,Si wakenya wanataka kutuvuruga
Shule nyingi za private kuanzia chekechea hadi vyuo vikuu wamejaza wakenya hapa Tanzania
Hili lipo wazi watu wa Kenya ndo wamejazana kwenye taasisi hizi za Elimu za kibinafsi
Sio humo tu,hosptali,vituo vya afya migodi wamo wakenya tena wengi mno
Kila mwaka vijana zaidi ya maelfu wanahitimu vyuo mbalimbali lakini wanalalamika hawana ajira na huku wakenya wamejazana humo kisa wanajua kiingereza cha kuombea maji ya kunywa
Serikali ya Tanzania tunaomba iangalie hili upya ,na wakenya hawa hawana vibali vya kufanya kazi Tanzania
Kama mbwahi iwe mbwahi,Si wakenya wanataka kutuvuruga
Shule nyingi za private kuanzia chekechea hadi vyuo vikuu wamejaza wakenya hapa Tanzania
Hili lipo wazi watu wa Kenya ndo wamejazana kwenye taasisi hizi za Elimu za kibinafsi
Sio humo tu,hosptali,vituo vya afya migodi wamo wakenya tena wengi mno
Kila mwaka vijana zaidi ya maelfu wanahitimu vyuo mbalimbali lakini wanalalamika hawana ajira na huku wakenya wamejazana humo kisa wanajua kiingereza cha kuombea maji ya kunywa
Serikali ya Tanzania tunaomba iangalie hili upya ,na wakenya hawa hawana vibali vya kufanya kazi Tanzania
Tatizo nyie hamko siriaz mmejaa porojo na drama nyngi....mtu akipata mshahara humuon kazin mara mama anaumwa sijui jiran kafiwa acha kwanza mnyooshweKama mbwahi iwe mbwahi,Si wakenya wanataka kutuvuruga
Shule nyingi za private kuanzia chekechea hadi vyuo vikuu wamejaza wakenya hapa Tanzania
Hili lipo wazi watu wa Kenya ndo wamejazana kwenye taasisi hizi za Elimu za kibinafsi
Sio humo tu,hosptali,vituo vya afya migodi wamo wakenya tena wengi mno
Kila mwaka vijana zaidi ya maelfu wanahitimu vyuo mbalimbali lakini wanalalamika hawana ajira na huku wakenya wamejazana humo kisa wanajua kiingereza cha kuombea maji ya kunywa
Serikali ya Tanzania tunaomba iangalie hili upya ,na wakenya hawa hawana vibali vya kufanya kazi Tanzania
Kiswahili chenyewe kibovu, hivi toka nchi yetu, ipate huru, nyinyi ndo mmetufunza Kiingereza, 'most of you are paid as under table cheap labour that's why, you are preferred kindly by many private institutions ,since they make handsomely profit by working with you! Yes, you mean a lot to us! We should be grateful to you, right? Is it true?So sisi Kenyans munataka tuende pande gan? Mitu ya Tz ni Nyang'au na iko na wivu sana,. Pia ata haichui English. Watoto zenu mutawafundisha na English yenu mbaya.
Shame on you.
Wenyewe kwa wenyewe tunanyang'anyana uraia kila siku.... (kwa misigano ya kisiasa) bado tunabaguana kwa vyama... bado tunaitana kwa makabila (dukani kwa muha... kwa mchagga... kwa mpemba... kwa mkinga... kwa mhindi... kwa.... neno ndugu haliko tena!!!) Na hakuna anayekemea.... sifa yetu kubwa kuna "sisi wenyewe, wale si wenzetu!!!"Acha ubaguzi wewe kiumbe
Ubaguzi ulishakuwepo kitambo unakomazwa tu Mkuu...Tukianza kubaguliana hatutafika popote
Sasa umekuja Uchato, Usukuma, Ukanda, sisi, wale si wenzetuUbaguzi ulishakuwepo kitambo unakomazwa tu Mkuu...
Tusubiri mavuno...Sasa umekuja Uchato, Usukuma, Ukanda, sisi, wale si wenzetu
So ? Uwatoe wakenya uweke wa zimbabwe na waganda? Are you nuts? Hapo unakuwa umefanya nnKwani wakenya peke yao ndiyo wanao jua lugha kiingireza? Fursa inaweza ikachuliwa na waganda, Zimbabwe nk.
Kwa hili ninasimama na wa Kenya. Wana discipline ya kazi na matunda ya kazi zao yanaonekana.
Ujamaa umetuharibu, Watanzania tunafanya kazi kwa kutegeana. Boss anaingia ofisini saa nne na saa saba akienda kula harudi.
Nikiwa na biashara nitaajiri Mkenya kwa ufanisi.
Na wengi wachapa kazi walifanya kazi kwenye International Organisations au walisoma nje ya nchi.Say that again sis. Wabongo niseme wengi tu. Ni wazembe kazin. Professionalism 0. Nimefanya kaz na wazungu na si kwamba ninawasifia ila wanataka mtu anae ijali kazi yake. Wabongo hawajali kazi..
Ataitafuta kwa tabu. Akishaipata anajisahau.. ataanza kuchelewa. Kazi akamilish kwa wkt.. n.k
Wapo watanzania wachapa kazi.. ambao wanaendana na viwango. Ila wako kidogo.