English Medium Tanzania zimejaza wakenya tupu,serikali tuanzie hapa

cutelove

JF-Expert Member
Oct 3, 2017
3,311
7,494
Kama mbwahi iwe mbwahi,Si wakenya wanataka kutuvuruga

Shule nyingi za private kuanzia chekechea hadi vyuo vikuu wamejaza wakenya hapa Tanzania

Hili lipo wazi watu wa Kenya ndo wamejazana kwenye taasisi hizi za Elimu za kibinafsi

Sio humo tu,hosptali,vituo vya afya migodi wamo wakenya tena wengi mno

Kila mwaka vijana zaidi ya maelfu wanahitimu vyuo mbalimbali lakini wanalalamika hawana ajira na huku wakenya wamejazana humo kisa wanajua kiingereza cha kuombea maji ya kunywa

Serikali ya Tanzania tunaomba iangalie hili upya ,na wakenya hawa hawana vibali vya kufanya kazi Tanzania
 
Hayo ndio madhara ya kuropoka
Mchuma janga hula na wakwao
Sasa atawasababishia wenzake majanga bure hawa waimba hope hopeless sijui wana matatizo gani.
Ameharibu sana image za wasanii wenzake ambao Jamii ilishaanza kuona wanafaa hats kuongoza kutokana na ukilopolopo wake
Kigeugeu kabisa huyu jamaa aiseh
 
Kama mbwahi iwe mbwahi,Si wakenya wanataka kutuvuruga

Shule nyingi za private kuanzia chekechea hadi vyuo vikuu wamejaza wakenya hapa Tanzania

Hili lipo wazi watu wa Kenya ndo wamejazana kwenye taasisi hizi za Elimu za kibinafsi

Sio humo tu,hosptali,vituo vya afya migodi wamo wakenya tena wengi mno

Kila mwaka vijana zaidi ya maelfu wanahitimu vyuo mbalimbali lakini wanalalamika hawana ajira na huku wakenya wamejazana humo kisa wanajua kiingereza cha kuombea maji ya kunywa

Serikali ya Tanzania tunaomba iangalie hili upya ,na wakenya hawa hawana vibali vya kufanya kazi Tanzania
Kuweni wakweli
Mi ni Mtanzania ila Wakenya walivumilia kipindi kirefu sana,
Mnakhmbuka tulivyo choma vifaranga?
Mnakumbuka tulivyo taifisha ng'ombe?
Mnakumbuka tulivyo Mteka msomali mtoto wa tajili akiwa ndani ya Ardhi ya Kenya?
Tatizo nyie watu wasaulifu sana,
 
Hisia kwenye mambo ya maana sidhani kama ni kitu kizuri. ..
Ile sentence ni ya mtu mmoja aisie na mamlaka ya kiserikali. ....
Hili la sijui na watz wajibu mapigo ni wehu uliovuka mipaka. ..

Hiyo ya kufundisha English hatuwezi lakini you need diversity to build a country!
Busara itawale..
 
Kama mbwahi iwe mbwahi,Si wakenya wanataka kutuvuruga

Shule nyingi za private kuanzia chekechea hadi vyuo vikuu wamejaza wakenya hapa Tanzania

Hili lipo wazi watu wa Kenya ndo wamejazana kwenye taasisi hizi za Elimu za kibinafsi

Sio humo tu,hosptali,vituo vya afya migodi wamo wakenya tena wengi mno

Kila mwaka vijana zaidi ya maelfu wanahitimu vyuo mbalimbali lakini wanalalamika hawana ajira na huku wakenya wamejazana humo kisa wanajua kiingereza cha kuombea maji ya kunywa

Serikali ya Tanzania tunaomba iangalie hili upya ,na wakenya hawa hawana vibali vya kufanya kazi Tanzania
Acha ubaguzi wewe kiumbe
 
English yakuwafundisha wenzako unaitambua?

Matatizo yetu ni mengi sana, tuwe wapole tu.
 
We mnafiki sana
Kuweni wakweli
Mi ni Mtanzania ila Wakenya walivumilia kipindi kirefu sana,
Mnakhmbuka tulivyo choma vifaranga?
Mnakumbuka tulivyo taifisha ng'ombe?
Mnakumbuka tulivyo Mteka msomali mtoto wa tajili akiwa ndani ya Ardhi ya Kenya?
Tatizo nyie watu wasaulifu sana,
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom