Kama mbwahi iwe mbwahi,Si wakenya wanataka kutuvuruga
Shule nyingi za private kuanzia chekechea hadi vyuo vikuu wamejaza wakenya hapa Tanzania
Hili lipo wazi watu wa Kenya ndo wamejazana kwenye taasisi hizi za Elimu za kibinafsi
Sio humo tu,hosptali,vituo vya afya migodi wamo wakenya tena wengi mno
Kila mwaka vijana zaidi ya maelfu wanahitimu vyuo mbalimbali lakini wanalalamika hawana ajira na huku wakenya wamejazana humo kisa wanajua kiingereza cha kuombea maji ya kunywa
Serikali ya Tanzania tunaomba iangalie hili upya ,na wakenya hawa hawana vibali vya kufanya kazi Tanzania
Mkuu,kwa baadhi yetu humu ndani sio wale "GREAT THINKERS" wa zamani. Wapo wadau ambao "kelele zinatangulia mawazo" na sio "mawazo kwanza afu kelele baadae"Hisia kwenye mambo ya maana sidhani kama ni kitu kizuri. ..
Ile sentence ni ya mtu mmoja aisie na mamlaka ya kiserikali. ....
Hili la sijui na watz wajibu mapigo ni wehu uliovuka mipaka. ..
Hiyo ya kufundisha English hatuwezi lakini you need diversity to build a country!
Busara itawale..
Kwani wakenya peke yao ndiyo wanao jua lugha kiingireza? Fursa inaweza ikachuliwa na waganda, Zimbabwe nk.Utazibadilisha ziwe za Kiswahili? Mengine nadhani hayawezekani.
Akuanzae mmalize...Taifa la aina gani ili tena .Siku hizi JF imeingiliwa sana na vijana wa kidato cha pili,nne na wanaotokea JKT. Hivi uwezi jiuliza kua kwanini hizo shule za English Medium zinazomilikiwa na watanzania ziwaajiri watu kutoka Kenya au Uganda ? Ungejiuliza ilo bila shaka usingediriki kuandika huu upuuzi.
Pili,kukosea kwa Jaguar aimanishi kua nasisi tufanye makosa ata kama zamani tuliwai kufanya makosa ya kutaifisha n'gombe na kuchoma vifaranga pamoja na kumkataa meneja wa Vodacom kutoka Kenya.
Ni muhimu sana kujenga ujirani mwema katika Dunia hii kuliko kuwazia kuvunja.
Hamtaki ukweli..kwenu ukweli ni unafiki na uongo ni jemaWe mnafiki sana
ila msiwapige waacheni wafundishe na nyie nendeni mkafanye biashara kwao.Kama mbwahi iwe mbwahi,Si wakenya wanataka kutuvuruga
Shule nyingi za private kuanzia chekechea hadi vyuo vikuu wamejaza wakenya hapa Tanzania
Hili lipo wazi watu wa Kenya ndo wamejazana kwenye taasisi hizi za Elimu za kibinafsi
Sio humo tu,hosptali,vituo vya afya migodi wamo wakenya tena wengi mno
Kila mwaka vijana zaidi ya maelfu wanahitimu vyuo mbalimbali lakini wanalalamika hawana ajira na huku wakenya wamejazana humo kisa wanajua kiingereza cha kuombea maji ya kunywa
Serikali ya Tanzania tunaomba iangalie hili upya ,na wakenya hawa hawana vibali vya kufanya kazi Tanzania
Kwa hili ninasimama na wa Kenya. Wana discipline ya kazi na matunda ya kazi zao yanaonekana.Hata kwenye mahoteli wako wafanyakazi wengi wa kikenya...
Wakenya wana English gani nzuri,? Acheni ujinga.wakiondoka hao wakenya nani atafundisha hizo english medium watoto wajue english nzuri...
Haina haja ya kulaumuMkuu,kwa baadhi yetu humu ndani sio wale "GREAT THINKERS" wa zamani. Wapo wadau ambao "kelele zinatangulia mawazo" na sio "mawazo kwanza afu kelele baadae"
Waache kupiga domo sasa, wao wazuri maofisini, sisi wazuri kwenye kuchuuza. Haha bongo kila mtu ni Dalali in natureKwa hili ninasimama na wa Kenya. Wana discipline ya kazi na matunda ya kazi zao yanaonekana.
Ujamaa unetuharibu, Warmtsnzania tunafanya kazi kwa kutegeana. Boss anaingia ofisini saa nne na saa saba akienda kula harudi.
Nikiwa na biashara nitaajiri Mkenya kwa ufanisi.
Watanzania mnatabia ya kujidharau na kujitukana.. Huu ni upuuzi uliotukuka..Kwa hili ninasimama na wa Kenya. Wana discipline ya kazi na matunda ya kazi zao yanaonekana.
Ujamaa unetuharibu, Warmtsnzania tunafanya kazi kwa kutegeana. Boss anaingia ofisini saa nne na saa saba akienda kula harudi.
Nikiwa na biashara nitaajiri Mkenya kwa ufanisi.
Hantavirus kuambiwa ukweli, maofisini mnaleta story za mtaani za jana mtaani.Watanzania mnatabia ya kujidharau na kujitukana.. Huu ni upuuzi uliotukuka..
Hao wakenya watakuja hadi watia madole
Kwamba wao wana specialty gani au viwango gani ambavyo sisi hatuna.
Jidharau peke yako..
Umenena vemaTaifa la aina gani ili tena .Siku hizi JF imeingiliwa sana na vijana wa kidato cha pili,nne na wanaotokea JKT. Hivi uwezi jiuliza kua kwanini hizo shule za English Medium zinazomilikiwa na watanzania ziwaajiri watu kutoka Kenya au Uganda ? Ungejiuliza ilo bila shaka usingediriki kuandika huu upuuzi.
Pili,kukosea kwa Jaguar aimanishi kua nasisi tufanye makosa ata kama zamani tuliwai kufanya makosa ya kutaifisha n'gombe na kuchoma vifaranga pamoja na kumkataa meneja wa Vodacom kutoka Kenya.
Ni muhimu sana kujenga ujirani mwema katika Dunia hii kuliko kuwazia kuvunja.
Kuna rafiki yangu mmoja anasemaga ule msemo wa 'no hurry in Africa' ilibidi uwe 'no hurry in Tanzania'. Hilo umeongea ni sahihi kabisa hata ukienda nairobi watu wanatembea upesi upesi kuwahi mishe zaoKwa hili ninasimama na wa Kenya. Wana discipline ya kazi na matunda ya kazi zao yanaonekana.
Ujamaa umetuharibu, Watanzania tunafanya kazi kwa kutegeana. Boss anaingia ofisini saa nne na saa saba akienda kula harudi.
Nikiwa na biashara nitaajiri Mkenya kwa ufanisi.