English Medium Tanzania zimejaza wakenya tupu,serikali tuanzie hapa

Binafsi naona tunastahili kuwashukuru wakenya kwa kuja kuinua elimu yetu duni japo kwa lugha. Walimu wetu wengi lugha hakuna ni vilaza vitupu, hakuna sababu ya kuogo ktk tope na maji masafi yapo.
Kama mbwahi iwe mbwahi,Si wakenya wanataka kutuvuruga

Shule nyingi za private kuanzia chekechea hadi vyuo vikuu wamejaza wakenya hapa Tanzania

Hili lipo wazi watu wa Kenya ndo wamejazana kwenye taasisi hizi za Elimu za kibinafsi

Sio humo tu,hosptali,vituo vya afya migodi wamo wakenya tena wengi mno

Kila mwaka vijana zaidi ya maelfu wanahitimu vyuo mbalimbali lakini wanalalamika hawana ajira na huku wakenya wamejazana humo kisa wanajua kiingereza cha kuombea maji ya kunywa

Serikali ya Tanzania tunaomba iangalie hili upya ,na wakenya hawa hawana vibali vya kufanya kazi Tanzania
 
Kuna rafiki yangu mmoja anasemaga ule msemo wa 'no hurry in Africa' ilibidi uwe 'no hurry in Tanzania'. Hilo umeongea ni sahihi kabisa hata ukienda nairobi watu wanatembea upesi upesi kuwahi mishe zao
Hospitali ya serikali mmepanga foleni nje, daktari anaongea na rafiki yake ndani nusu saa.
 
Haina haja ya kulaumu
Tupende kuheshimu mawazo ya kila mtu.
Kaka Sachez, nakubaliana na wewe ila kuna ishu ambazo hazifai kuletwa kwenye jukwaa makini kama hili. Kwa mfano mdogo tu,Raisi wao kasema ile ilikuwa kauli ya MTU mmoja na tayar kakamatwa kama sikosei(source: BBC) Afu bado sisi tunaijadili mkuu! Yule mjinga alitaja mataifa mengi kwenye ile clip ila sisi ndo tumeonekana kuumia zaidi. Why? Labda wao kwa busara zao wameona kumjibu mpumbavu ni kumpa umaarufu wa kijinga!!! Ukimya ni ishara ya busara!
 
Yaliyoandikwa ni ya kweli, ila natamani tungekuwa makini wakati wa kutoa maoni. Mwaka 1977 kulianza maneno kama hivi baadae Jumuia ya Afrika Mashariki ikafa/ikauliwa. Ilituchukua miaka 22 kuianzisha tena kwa majuto makubwa.
 
Cutelove ni wewe huyo hapo avartar?Hata kisawahili hatukijui elimu yetu itakuwaje?Mbwahi ndo nini?Nakuja Pm tuyajadili.
 
Kama mbwahi iwe mbwahi,Si wakenya wanataka kutuvuruga

Shule nyingi za private kuanzia chekechea hadi vyuo vikuu wamejaza wakenya hapa Tanzania

Hili lipo wazi watu wa Kenya ndo wamejazana kwenye taasisi hizi za Elimu za kibinafsi

Sio humo tu,hosptali,vituo vya afya migodi wamo wakenya tena wengi mno

Kila mwaka vijana zaidi ya maelfu wanahitimu vyuo mbalimbali lakini wanalalamika hawana ajira na huku wakenya wamejazana humo kisa wanajua kiingereza cha kuombea maji ya kunywa

Serikali ya Tanzania tunaomba iangalie hili upya ,na wakenya hawa hawana vibali vya kufanya kazi Tanzania

I do not support this.
 
Labda jamaa anataka watoto watu wafundishwe Kiswanglish....!!
Watanzania mamia kwa mamia wanagraduate na hawaajiriwi.... Watu wana masters za linguistics huko na wako mtaani...
Hiyo English gani ambayo itawashinda. Mbona mnajidharau sana!!!??
 
Kuweni wakweli
Mi ni Mtanzania ila Wakenya walivumilia kipindi kirefu sana,
Mnakhmbuka tulivyo choma vifaranga?
Mnakumbuka tulivyo taifisha ng'ombe?
Mnakumbuka tulivyo Mteka msomali mtoto wa tajili akiwa ndani ya Ardhi ya Kenya?
Tatizo nyie watu wasaulifu sana,

Sasa nao si wateke, wataifishe, wachome, ndo ngoma itakuwa droo, sasa wafanya biashara na wafanyakazi walihusika kuchoma na kuteka?
 
Kama mbwahi iwe mbwahi,Si wakenya wanataka kutuvuruga

Shule nyingi za private kuanzia chekechea hadi vyuo vikuu wamejaza wakenya hapa Tanzania

Hili lipo wazi watu wa Kenya ndo wamejazana kwenye taasisi hizi za Elimu za kibinafsi

Sio humo tu,hosptali,vituo vya afya migodi wamo wakenya tena wengi mno

Kila mwaka vijana zaidi ya maelfu wanahitimu vyuo mbalimbali lakini wanalalamika hawana ajira na huku wakenya wamejazana humo kisa wanajua kiingereza cha kuombea maji ya kunywa

Serikali ya Tanzania tunaomba iangalie hili upya ,na wakenya hawa hawana vibali vya kufanya kazi Tanzania

WAANZE NA MSHAULI WA ALHAJI ZZK
 
Hisia kwenye mambo ya maana sidhani kama ni kitu kizuri. ..
Ile sentence ni ya mtu mmoja aisie na mamlaka ya kiserikali. ....
Hili la sijui na watz wajibu mapigo ni wehu uliovuka mipaka. ..

Hiyo ya kufundisha English hatuwezi lakini you need diversity to build a country!
Busara itawale..
... hiyo issue sio ya mtu mmoja tena boss! tayari imejadiliwa kwa mapana na marefu in their house na mwelekeo ni huohuo wa aliyelianzisha.
 
Kama mbwahi iwe mbwahi,Si wakenya wanataka kutuvuruga

Shule nyingi za private kuanzia chekechea hadi vyuo vikuu wamejaza wakenya hapa Tanzania

Hili lipo wazi watu wa Kenya ndo wamejazana kwenye taasisi hizi za Elimu za kibinafsi

Sio humo tu,hosptali,vituo vya afya migodi wamo wakenya tena wengi mno

Kila mwaka vijana zaidi ya maelfu wanahitimu vyuo mbalimbali lakini wanalalamika hawana ajira na huku wakenya wamejazana humo kisa wanajua kiingereza cha kuombea maji ya kunywa

Serikali ya Tanzania tunaomba iangalie hili upya ,na wakenya hawa hawana vibali vya kufanya kazi Tanzania
Wewe jamaa hovyo kweli, kwani kuwepo kwao ni kwa faida ya nani? Unataka hizo shule zigeuzwe kuwa za kiswahili? mawazo ya kijima haya.
 
Watanzania mamia kwa mamia wanagraduate na hawaajiriwi.... Watu wana masters za linguistics huko na wako mtaani...
Hiyo English gani ambayo itawashinda. Mbona mnajidharau sana!!!??
Wewe kataa ukubali watanzania wengi hatujui kiingerea cha kuongea. Kuwa na masters ya linguistic si kigezo kabisa. Unaongea usiyoyajua. Nilifikiri ungekiri udhaifu wetu kwanza halafu upendekeze njia ya kututoa hapa. Sasa kama hawaajiliwi huoni kuwa wakijua kiingereza fasaha ni rahisi kutafuta ajira katika nchi nyingine za duniani. Kwa hali ya sasa ni vigumu sana kushinda interview katika ajira za kimataifa kwa lugha ya kutafutizia.
 
wakiondoka hao wakenya nani atafundisha hizo english medium watoto wajue english nzuri...
Tutachukua waganda. Kwanza mimi nashanga hawa watu maisha yao ya slams wanaleta nyodo. Kenya pahala naweza ishi pekee ni mombasa lakini sehemu nyingine hujanikalisha. Miji mingine bila kwenda wangeni hata vyoo hawavijuhi. Ustalab ziro. Leo hii eti mfukuze wageni wanaoelimisha ustaalab
 
Back
Top Bottom