English Day

English Day

Let me go to drink 1 cup of bear I will come soon to discuss this matter it is very sensitive ok!
 
Spiking inglish is not very president. Evidence is here here
 
mmmh, yu yu
na hii st kayumba mnataka kunifukuza chitchat?
 
You are a coward how can you say such words in front of me. Remember this marriage is beyond on your view, so shut your mouth

calm down calm down bro,it was just a matter of time that u had to realize it on your own
 
Yatakushinda kwa kiinglishi inaandikwaje tena??? Namalizia kuunga mboga nivae dera na raba nikufuate!

Mwambie klorokwini nimemmiss yan nilishaandika barua na kuandaa sumu kwaajili yake, asingetokea leo angekiona cha mtema kuni. Ufikishe ujumbe kwa kiinglishi please!
 
To realize what your hypocrite? oh i see now listen to me, i love my wife more than anything i repeat more than anything
 
Yatakushinda kwa kiinglishi inaandikwaje tena??? Namalizia kuunga mboga nivae dera na raba nikufuate!

Mwambie klorokwini nimemmiss yan nilishaandika barua na kuandaa sumu kwaajili yake, asingetokea leo angekiona cha mtema kuni. Ufikishe ujumbe kwa kiinglishi please!

Who is klorokwini he or she?. Niweke wazi my love
 
OMG, Are you still alive?i already bought a black dress.
Madaktari wameshauri nispigwe sana na mwanga wa jua na laptop, sisi mamilionea tunasumbuliwa sana na mwangaza mwangaza, hapa nachati na sunglass na mwavuli ili mwanga usnipate. Ingiza hii kwenye google translate
 
Yatakushinda kwa kiinglishi inaandikwaje tena??? Namalizia kuunga mboga nivae dera na raba nikufuate!

Mwambie klorokwini nimemmiss yan nilishaandika barua na kuandaa sumu kwaajili yake, asingetokea leo angekiona cha mtema kuni. Ufikishe ujumbe kwa kiinglishi please!

hehehe haya mengine tutaongea PM bana hapa kuna linoko flani lishaanza kauzibe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom