Engineers wetu hasa hasa hawa CIVIL ENGINEERS

Kulaumu eng eti kisa hamna designs nzuri tanzania ni kumuonea, eng atadesign kitu kuendana na mfuko wako, daraja la tazara ni mfano hai
 
Sasa ordinary residential za kawaida zinahitaji engr wa civil aje kufanya nn.Kwa uzoefu wangu watu wengi wameingizwa chaka na mafundi in terms of ubora na costs.Kama tu mnavyodanganywa na mafundi unakuta mtu ameweka kingpost kubwa sana eti ni shoo mwisho wa siku unakuta nyumba haipendezi machoni kama mfano huu hapa chini
 

Attachments

  • IMG_20180810_104548.jpg
    161.2 KB · Views: 34
Nilikuwa sijaelewa, kumbe issue sio Civil engineers wote, ila issue ni Civil engineers wanaokaa ofisini.

Mimi ni Civil Engineer na kama kiyoyozi nimekula sana, na jua lumenipiga sana tu, sasa wewe endelea kuwa obsessed na ma-engineer wa ofisini kwako maana nahisi kuna kitu wanakuzidi hapo ofisini.
 
ndio maana wengi wanaover design kwa kua hawajakaa site na hawajui wanadesgn kwa theory
Site utahitaji details tu za material kama aina ya udongo, au hali ya eneo husika kama lina nature ya matetemeko, au upepo mkali, Ukishapata hivyo huhitaji kukaa huko kwa ajili ya kudesign.
Designing zote hufanyika ofisini, site ni implementation tu.
 
Unajaribu Ku overlook role ya Technician ukiacha ishu ya kumshauri Engr,sio kwamba technician hajui physics behind anajua but not in detail kwa vile Technician ana general knowledge kwenye modules zote za discipline husika na hayuko specific kama Engr/architect etc na technician ni practical oriented zaidi.Since structures nyingi ni marudio waajiri hasa sector binafsi wanaprefer Technicians na watu wa Beta kuliko engrs unless stated otherwise. So ww Engr ukimaliza design sepa achia Technician na mafundi wapige pesa site
 
Mkuu Mimi nililetewa architectural drawings za jengo moja huko Kigoma nikaambiwa nidesign structural members wakati sikuwa nimefika huko Kigoma kwenyewe.

Site utaenda kama huna datas mfano aina ya udongo ili uweze kujua properties na bearing capacity yake, au ujue nature ya mazingira hayo kama upepo au matetemeko maana hizo ndio data muhimu kabla ya kuanza designing. Lakini kama nikipewa hizo data sina sababu ya kwenda site.
 
Sijui, labda ukiniambia utakua umenisaidia, na sijaleta hii mada kujua who is an eng.
Sasa kama hujui nini maana ya "engineer" kwanini unawaponda wakati hata huwajui achilia mbali majukumu yao!!

Na kama sio hao mainjinia unaoona hawana kitu jua hata JF mda huu usingekuepo!!
 
Nimekutana na engs ameweka depth ya footing 2.5m, lakini excution kwenye real world ilihitaji 1.7m, alikataa, unaona storng rocks yenye uwezo wa kubeba jengo bado unataka kifanyike ulichosema kwanini snisikuite mzee wa litrature
Mkuu dokta akikuambia meza panado na akakupa sababu za kitaalam kwann umeze alafu akaja mtu mtaani akakwambia lamba udongo utapona, wewe utamfwata nani?
 
Site utahitaji details tu za material kama aina ya udongo, au hali ya eneo husika kama lina nature ya matetemeko, au upepo mkali, Ukishapata hivyo huhitaji kukaa huko kwa ajili ya kudesign.
Designing zote hufanyika ofisini, site ni implementation tu.
Huyu jamaa nahisi kuna injinia hapo mtaani kwao kampigia mchepuko wake!! maana anaandika ujinga ilhali hata maana ya "engineer/engineering" haijui.
 
Okee siijui, nadhani hata wewe huijui pia,
Ningekua sijui ningeandika kama haya uliyo yaandika hapa!!

Ivi unajua kama sio civil engieer mda huu usingekuwepo hapa JF? kama sio civil engineer usingeweza kusafiri kwa kutumia bara bara?

Sikatai wana mapungufu yao ila isiwe kigezo cha kuwaponda kama ulivyofanya maana pamoja na changamoto wanazopata bado wamekuwezesha wewe kuingia humu JF na kuandika UJINGA wako!!
 
Mkuu Engineer Hawezi Kusepa Kuna Cases zinatokea Technicians Hawawezi, Kuna Case ilitokea Juzi Hapo Msasani Nilikuwa nasimamia Jengo Ghorofa MoJA tu, Maji yakawa yanatoka kwenye Footings za Column.. Technicians wako hao walimbwela.. wanashindwa hata Kuamua nia aina gani ya zege inafaa kumwagwa sehemu kama hiyo.. Engineer ni Muhimu saana..
 
Nimekutana na engs ameweka depth ya footing 2.5m, lakini excution kwenye real world ilihitaji 1.7m, alikataa, unaona storng rocks
Nikiwaambia Hamuelewi Physics Behind.. Kuna Kitu Kinaitwa Factor of Safety.. Eng labda alifikiri hivyo..Tungekuelewa bwana ungesema sehemu iahitaji 2.5 yeye akangangania 1.7 kwa maana tungeona ingeleta Hatari.. Rudi Ufanye Shule..
 
Wewe unaejua ndio useme nadhani, kama ni Architect by proffesional HAKIKA utakua mchanga sana kwenye hili gemu, na kma huyo niliemtaja HUMKUBALI basi sina cha kukusaidia

kifupi unaweza kuingia pale ofisini kwake ukamuuliza
im Civil Engineer By Profession.. Not an Architect..
 
Hivi vitu Havihitaji Kiswahili Kingi Mkuu, Viko Mathematicaly Oriented..
 
Hakua experienced technician huyo may be alisita kuruhusu coz of cost implication ndo ikabidi awasubilie wahusika mtoe go ahead
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…