Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,988
- 9,213
Leo nimeona niandike jambo flan juu ya hawa watu maana wanatumia mamlaka yao vibaya sana.
Sifa kuu ya Civil Engineers sio Cheti chenye Ufaulu mkali ukijisifia umetoka na GPA kali sana chuo kikuu, sifa kuu ni uwezo wa kutatua matatizo na changamoto mbalimbali katika practical works maana hapa ndio tunakujudge hicho kichwa chako.
Civil Engineer hutakiwa kukaa ofisini ukapulizwa AC ukalipwa mshahara mzuri ukaona umemaliza ndugu yangu ipo siku hata fundi aliesoma VETA uwashi atakuaibisha.
Kuna tatizo mahali kwenye kadi hii hapa Tanzania, wengi wa maengineer wetu ni watu wa ofisini sana wakisema wanadesign ili hali ni vichekeaho tu,
Hawa maemgineer ambao ni wengi sana kwenye nchi yetu hii huwa wabishi sana, wao wanachojua ni literature tu ukimweleza kitu atarudi kusoma notes, unaweza ukamwambia Eng hapa kutokana na sababu hii hatuhitaji chuma zote hizooo, yeye atakacho fanya leta calculation sheet unajiuliza maswali mpk unakosa majibu,
Jibu unalipata, huyu ni Engineer wa Ofisini.