Mphamvu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 10,702
- 3,288
Mpenzi mi nataka tualike ukoo mzima hapo, mziki spika mia na misonsomolo ya nguvu.
Bajeti ikifika ukomo je?
Mpenzi mi nataka tualike ukoo mzima hapo, mziki spika mia na misonsomolo ya nguvu.
Mpenzi mi nataka tualike ukoo mzima hapo, mziki spika mia na misonsomolo ya nguvu.
Umenikumbusha tulienda kuoza kijana wetu, so siku tunapeleka mahari tunashangaa tunapelekwa ukumbini. Mc, mapambo, mziki na watu wana kadi za mwaliko! Kha! That is a family thing na inafanyikia sebuleni!
siku hizi ni full maigizo
utaita watu na kuandaa vinywaji halafu iwe surprise?
angekataa jee mbele ya watu?
! That is a family thing na inafanyikia sebuleni!
Hii ndo yale yale ya wengi wetu kudhani mila na tamaduni zetu ni sahihi kuliko wengine.
Kaa kwenu kunafanyikia sebuleni haina maana kuwa hiyo ndio njia pekee na sahihi kuliko nyengine. Kila watu wana traditions zao
bora kuambiana mapema, maana unaweza ukawa na mtu ila unajua kabisa sio husb mat... Hlf anakufanyia hiyo suprise, lazima umtie aibu.
BADILI TABIA, my friend alimwita tu baada ya kutoka job njoo sehemu flani at least we have a drink..ts ur birthday! so demu alikuja vilevile alivyotoka kazini thinking anaenda tu ku-have a drink na bf wake..! no dress, no decorations needed...raha ya engegement muwe wawili, mnaweza kuanzia movie then dinner halafu unamsuprise.....
Ya kuita watu kibaaa, bibie ananunua kigauni special nk wala hainogiiii
Hahaha! It is perfectly understood kuna tamaduni zingine hawana sebule,lol. Ila tamaduni za kwenu ni kulipia kwenye ukumbi? Kinda fake huh?
Hapo hapo hata mie nilikuwa nafikiri! Sometimes unaweza ukawa na mchumba kumbe wewe wala haupo moyoni mwake ila kinachomfanya aendelee na wewe ni kukuchuna tu! Sasa unaalika watu eti ufanye surprise then unamwagwa mbele ya halaiki!
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Hahaha! It is perfectly understood kuna tamaduni zingine hawana sebule,lol. Ila tamaduni za kwenu ni kulipia kwenye ukumbi? Kinda fake huh?
Tamaduni za "kwetu" ni kukusanya watu wengi wakati wa mahari na engagement.
Kwa vile nyumba yetu haina ukumbi wa kutosha, na nisingependa wageni kuwafungia turubali mtaani nje, nimeona nikodi ukumbi.
Tatizo ni lipi?
No king'asti, sio kulipia ukumbi mkuuubwa unatumia cost nyingi! make t like some birthday bash budget! inawezekana..au whats ur other
BADILI TABIA, my friend alimwita tu baada ya kutoka job njoo sehemu flani at least we have a drink..ts ur birthday! so demu alikuja vilevile alivyotoka kazini thinking anaenda tu ku-have a drink na bf wake..! no dress, no decorations needed...
mimi uzungu nilishashindwa