My dearest brother, suit yourself. Inategemea na expectations zako pia. Binafsi kukaa mbele ya kiti cha enzi and everybody staring kwangu sio fun hata kiduchu, kama mfano tu. Napenda kuinterract nicheke all the time na wati wote. So hata bday bash is different, ni dinner na very few pple.kama sio mpenzi tu.
Unamjua mpenzio, unajua anapenda nini. Fanya kitakachompendeza. Nimeona wengine engagement wanafanya baada ya kulipa mahari. Ungeweza kumtumia rafiki yake wa karibu ama ndugu yake kumdodosa ujue kitu gani kitamfurahisha.
But my ideal engagement ni ya two pple, hapo my heart melts!