Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,328
- 23,879
Salaaam za Jumapili wakubwa,
Nataka kuongelea hili suala la engagement party..proposing...kuvishwa pete ya uchumba!! (are they really the same??)
Wiki jana nili attend sherehe moja ya 'engagement' and it was really boring (ama ndo inavyotakiwa iwe? kibongobongo).
It was jus straight forward watu tumeitwa tumefika..mara MC anatangaza "kilichotuleta hapa ni kushuhudia tendo maalum kati ya ... na ..." mara katoa pete mfukoni kamvisha watu wakapiga makofi...drinks...drinks...drinks n more drinks...then watu wakasepa!
Now enlighten me ninyi ambao mshapita huku, ndo engagement zinatakiwa kuwa hivyo kweli?
I thought they were some kind of a surprise thing. Yani hata binti mwenyewe hajui kwamba hiyo siku anavishwa pete?
Ama ni uzungu mwingi umenijaa kichwani?
What hapenned to the, "Will you marry me?" and she is all like..Waaat! i never expected this..n ol dat!??
Nifahamisheni wakuu kwani niko kwenye mchakato wenye yakinifu wa kuhalalisha mahusiano yangu na bi Catherine nje ya jukwaa! Nilikuwa nafikiria a surprise event (msijali mtaalikwa) lakini hii ya kibongo imenishtua..
Naombeni mawazo yenu hata nyie ambao bado hamjaoa/kuolewa walau mtakuwa mmeona sehemu ikifanyika.
cc: babu Asprin, dada AshaDii, @erickb52, beibe nasty, Judgement, Ruttashobolwa, snowhite, SnowBall, The Boss, BAK, mtotowamjini, Viper, Eversmilin Gal, Baba V, charminglady, muuza ubuyu, manoah, Ciello Asprin, Mamndenyi, Pombekali, lara 1
Last edited by a moderator: