Eng. Stella Manyanya atangaza vita

Eng. Stella Manyanya atangaza vita

Unajua tunapozungumza mambo magumu kama haya huyo mama asilete utani wa jikoni! Tunahasira ya kutosha yaani ni swala tuanze lini. Huyo atakufa natural death
 
kheee hyu anajiita injinia jamani? khaaaaa...huyu si sawa na fundi wangu wa madishi huku kunduchi mussa nyumba nyingi..sasa mbona musa hajiiti injinia..kheee
 
Kenye katiba mpya cheo cha Mkuu wa mkoa, wilaya na viti maalumu hakuna!! Sijui atakula wapi??
 
magamba kwakurundikiana ma vyeo sasa huyu kapewa kalewa kalala chali , tutaandamana hadi chumbani kwake
 
Mkuu wa mkoa Wa Rukwa mh. Stella Manyanya ametangaza kuwashughulikia wale wote watakaoleta maandamano na vurugu hasa akiwalenga chadema ameyasema hayo wakati akichangia muswada Wa katiba.

Anaumwa huyo mama ule ugonjwa wa ccm wa siku zote!!
 
Mkuu wa Mkoa ni mwakilishi wa Serikali dhidi ya Wananchi.
Mbunge ni Mwakilishi wa Wananchi dhidi ya Serikali.
Sasa Mkuu wa Mkoa awe huyohuo M'bunge!!!!
Hii kitu inachanganya kwa kweli
popo!!!
 
Mkuu wa mkoa Wa Rukwa mh. Stella Manyanya ametangaza kuwashughulikia wale wote watakaoleta maandamano na vurugu hasa akiwalenga chadema ameyasema hayo wakati akichangia muswada Wa katiba.

Huyu hatupaswi kushughulika naye sisi wanaume; atasutwa na wanawake wenzake akienda saloon au sokoni - achana na huyo kiumbe - Engineer na siasa wapi na wapi?
 
Tunaomba aje Mbeya au aende Arusha, maana mwenzake kandoro amechemsha mpaka anaona haya hana cha kunena tena.
 
Back
Top Bottom