Eng. Stella Manyanya atangaza vita

Eng. Stella Manyanya atangaza vita

Mkuu wa mkoa Wa Rukwa mh. Stella Manyanya ametangaza kuwashughulikia wale wote watakaoleta maandamano na vurugu hasa akiwalenga chadema ameyasema hayo wakati akichangia muswada Wa katiba.

****** nchi ya kwake peke ake hii au ya baba ake? peoples power!
 
Mkuu wa Mkoa ni mwakilishi wa Serikali dhidi ya Wananchi.
Mbunge ni Mwakilishi wa Wananchi dhidi ya Serikali.
Sasa Mkuu wa Mkoa awe huyohuo M'bunge!!!!
Hii kitu inachanganya kwa kweli
Mkuu watu kama hawa wanajeuri kwa sababu!! mimi na wewe tunalifahamu hilo lakini nawaonea huruma kwani Freedom is coming tomorrow watakimbia waache viatu. Hii biashara ya vimada.com inalisumbua sana bunge letu na wabunge kwa ujumla. Wewe mtu mmoja una vyeo lukuki kwani hakuna watanzania wengine wanafaa kufanya hizo kazi? Serikali ifunge vyuo vyote ili vijibibi vijibabu na vimada waendelee kufanya kazi mpaka wafie kwenye madawati. Oh no wonder hakuna mikopo mashuleni hhahahhaha wanataka vijana wasisome kusudi wao wazidi kupeana madaraka kama njugu kazi kweli kweli Tz. yangu inayumba kama meli iliyokosa abiria.
 
Mkuu wa Mkoa ni mwakilishi wa Serikali dhidi ya Wananchi.
Mbunge ni Mwakilishi wa Wananchi dhidi ya Serikali.
Sasa Mkuu wa Mkoa awe huyohuo M'bunge!!!!
Hii kitu inachanganya kwa kweli
Hizo ndizo sera za magamba mtu 1 nyadhifa kibao. A single figure anakula mishahara 3 tena mikubwa utadhani kasoma peke yake! Hivi huyo anajua Korie au unga kg1 ni sh.ngapi! Subiri watz 2mechoka 2taanza mapinduzi ya msituni hatuwez kuvmilia kuona keki ya nchi inaliwa na wachache. CCM JIANDAE 2015 KUNA KAZI YA ZIADA, POLISI WENU WATAKUWA NA Kazi kubwa. Ha2danganyiki tenaa!
 
jamani porojo basi tusubili siku ya kuingia barabarani ukiwa na cha kula chako maana hatutarudi nyumba mpaka tumepata tunacho kitaka
 
[TD="bgcolor: #B1C3D9, colspan: 3"] GENERAL
[/TD]

[TD="bgcolor: #E9F0F0"] Salutation [/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Honourable[/TD]
[TD="width: 42%, bgcolor: #E9F0F0"] Member picture
1334.jpg
[/TD]

[TD="bgcolor: #E9F0F0"] First Name: [/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Stella[/TD]

[TD="bgcolor: #E9F0F0"] Middle Name : [/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Martin[/TD]

[TD="bgcolor: #E9F0F0"] Last Name: [/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Manyanya[/TD]

[TD="width: 20%, bgcolor: #E9F0F0"] Member Type: [/TD]
[TD="width: 38%, bgcolor: #E9F0F0"]Special Seat[/TD]

[TD="bgcolor: #E9F0F0"] Constituent: [/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]No Constituency[/TD]

[TD="bgcolor: #E9F0F0"] Political Party: [/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]CCM[/TD]

[TD="bgcolor: #E9F0F0"] Office Location: [/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]P.O. Box 77605, Dar es Salaam[/TD]

[TD="bgcolor: #E9F0F0"] Office Phone: [/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]+255 787 050050[/TD]

[TD="bgcolor: #E9F0F0"] Ext.: [/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"][/TD]

[TD="bgcolor: #E9F0F0"] Office Fax: [/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"][/TD]

[TD="bgcolor: #E9F0F0"] Office E-mail: [/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"][/TD]

[TD="bgcolor: #E9F0F0"] Member Status: [/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"][/TD]

[TD="bgcolor: #E9F0F0"] Date of Birth [/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]
[/TD]

[TD="bgcolor: #B4C6DB, colspan: 5"] EDUCATIONS [/TD]

[TD="width: 35%, bgcolor: #B4C6DB"] School Name/Location [/TD]
[TD="width: 27%, bgcolor: #B4C6DB"] Course/Degree/Award [/TD]
[TD="width: 15%, bgcolor: #B4C6DB, align: center"] Start Date [/TD]
[TD="width: 13%, bgcolor: #B4C6DB, align: center"] End Date [/TD]
[TD="width: 10%, bgcolor: #B4C6DB, align: center"] Level [/TD]

[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Maguu Primary School, Mbinga[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]1970[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]1975[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]PRIMARY[/TD]

[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Songea Girls' Secondary School[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]Secondary Education[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]1976[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]1979[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]SECONDARY[/TD]

[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Dar Es Salaam Institute Technology (DIT)[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]Full Technician Course (FTC)[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]1980[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]1983[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]CERTIFICATE[/TD]

[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]Advance Diploma (Electrical Eng.)[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]1987[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]1992[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]ADV DIPLOMA[/TD]

[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Trodheim Technical Collage (NTNU) Norway[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]PGD (Electric Power Distribution System)[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]1995[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]1996[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]POSTGRADUATE[/TD]

[TD="bgcolor: #E9F0F0"]University of Dar Es Salaam (UDSM)[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]Post Graduate[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]2005[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]To Date[/TD]

[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Nambingi Primary School, Mbinga[/TD]

[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]1969[/TD]

CV yake hiyo....kumbe huyu ni fundi mchundo tu.....

Mbona Post Graduate Diploma anasoma mara ya pili pale UDSM, alafu tangu 2005 hamalizi kwa nini? Ile ya Norway haitambuliki? Anyway, kwa ufupi huyu si engineer labda ajiite Technician (fundi mchundo).

Mawazo yake ya jana yanaakisi uwezo wake wa kufikiri na wa wabunge wenzake. Kwa kweli nilichokiona ni woga walio nao wana ccm na serikali juu ya hasira za wananchi kuhusu muswada huu.
 
Mkuu wa mkoa Wa Rukwa mh. Stella Manyanya ametangaza kuwashughulikia wale wote watakaoleta maandamano na vurugu hasa akiwalenga chadema ameyasema hayo wakati akichangia muswada Wa katiba.

Huyu mama ni bonge la kilaza niliwahi kumsikia kwenye mdahalo wa Bunge la kumi na 'Tanzania tunayoitaka' Dodoma muda wote aliopewa mic aliutumia kuwapomnda cdm badala ya kumwaga hoja bure kabisa huyu bibi, anafikiri Tanzania ni yake?
 
Mkuu wa Mkoa ni mwakilishi wa Serikali dhidi ya Wananchi.
Mbunge ni Mwakilishi wa Wananchi dhidi ya Serikali.
Sasa Mkuu wa Mkoa awe huyohuo M'bunge!!!!
Hii kitu inachanganya kwa kweli

Hizi ndizo RAFU za hii serikali. Inabidi jamani tuamke!
 
Mkuu katiba mpya hiki kipengere cha viti maalumu lazima kiondolewe.

Hivi viti maalumu vinawapa jeuri. Wananchi naomba tuvikate hivi viti maalumu. Kama wanajiamini waje waombe kura kwetu
 
Mkuu wa mkoa Wa Rukwa mh. Stella Manyanya ametangaza kuwashughulikia wale wote watakaoleta maandamano na vurugu hasa akiwalenga chadema ameyasema hayo wakati akichangia muswada Wa katiba.

Huyu mama ni bonge la kilaza niliwahi kumsikia kwenye mdahalo wa Bunge la kumi na 'Tanzania tunayoitaka' Dodoma muda wote aliopewa mic aliutumia kuwapomnda cdm badala ya kumwaga hoja bure kabisa huyu bibi, anafikiri Tanzania ni yake?
 
Pole SHOSTI!!! Hiyo vita ungewatangazia MACHANGUDOA wa DSM wanaomnyemelea mumeo wakati wewe uko Rukwa. Pole mwaya kwa kuteleza mdomo!!!
 
Njaa zinamsumbua. Hata kama mbwa lazima amtumikie bwana wake lakini hizi zimezidi.
 
Ndiyo shida ya Viongozi wetu.. wewe Mbunge.. Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya bunge... Mkuu wa mkoa... Hivi watu wengine watapataje kazi kama mtu mmota ana vyeo vyote hivyo???

Kuzuia maandamano hii ni shida kwa hawa wabunge na Mawaziri, wakuu wa mikoa wananishangaza sana..... HIVI HAWAANGALII MISRI, TUNISIA,, SYRIA umma ukishaamua hauwezi kuzuia..

MAANDAMANO NI LAZIMA HADI WAKUBALIANE NA MATAKWA YA WANANCHI.........

CHADEMA MWENDO MDUNDO,,, WAPINZANI TUKAZE BUTII......... VIJANA TUSIOGOPE KUIKOMBOA NCHI YETU......
 
huyu mama amekuw amropokaji mzuri sana-sijui cccm wamempa nini?nadhani hawajawai kuona nguvu ya uma ilvyo-anaweza kushindwa kulala hta kwake-mwache alete utani na ngunvu ya uma
 
Maskini Eng. anapoetea kabisa, alikuwa mpambanji mzuri tu amepewa pipi kidogo tu mate yamemjaa amesahau tena mapambano anafikiri amefika kwahiyo anatetea kiti, Hajui unateuliwa redion na kufukuzwa ni redion tu. Teeeeehhhhh teeeeeehhhhhh haaaaah hhhha
 
Kama kawaida ya vyeo vya kuhongwa.
Hili sio la Stella peke yake, maana hata wanaume waliohongwa cheo au cha ukuu wa mkoa au cha ukuu wa wilaya wana shida hizo hizo. Wanadhani wanamamlaka kuliko hata katiba yetu.. na hapa ndipo nadhani wamekosea na watashangaa wananchi wenyewe tutakapo wahukumu. Ebu tusubiri tuone kati ya yeye na nguvu ya umma nani zaidi. Aulize Kandoro atamwambia ukweli. Asithubutu kuanzisha vurugu akadhani yeye atapona. Atakuwa wa kwanza kuhukumiwa na umma.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Ndiyo shida ya Viongozi wetu.. wewe Mbunge.. Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya bunge... Mkuu wa mkoa... Hivi watu wengine watapataje kazi kama mtu mmota ana vyeo vyote hivyo???

Kuzuia maandamano hii ni shida kwa hawa wabunge na Mawaziri, wakuu wa mikoa wananishangaza sana..... HIVI HAWAANGALII MISRI, TUNISIA,, SYRIA umma ukishaamua hauwezi kuzuia..

MAANDAMANO NI LAZIMA HADI WAKUBALIANE NA MATAKWA YA WANANCHI.........

CHADEMA MWENDO MDUNDO,,, WAPINZANI TUKAZE BUTII......... VIJANA TUSIOGOPE KUIKOMBOA NCHI YETU......

umesahau cheo kimoja mbunge kwenye bunge la nchi za kusini mwa Africa SADC
 
Mkuu wa Mkoa ni mwakilishi wa Serikali dhidi ya Wananchi.
Mbunge ni Mwakilishi wa Wananchi dhidi ya Serikali.
Sasa Mkuu wa Mkoa awe huyohuo M'bunge!!!!
Hii kitu inachanganya kwa kweli

hahah, huyu eng kalewa uongozi. Haelewi hata nini cha kusema na wakati gani!! Muswada hauna chama, japo chama flani kinaweza kuwepo mbele kutetea yale ya wananchi walio wengi. CCM bado hawajaelewa hilo,ama wagumu kuelewa au wanajitoa timamu kwa manufaa wanayoyajua wao
 
Member picture
1334.jpg

[TD="bgcolor: #B1C3D9, colspan: 3"] GENERAL [/TD]

[TD="bgcolor: #E9F0F0"] Salutation [/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Honourable[/TD]

[TD="bgcolor: #E9F0F0"] First Name: [/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Stella[/TD]

[TD="bgcolor: #E9F0F0"] Middle Name :[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Martin[/TD]

[TD="bgcolor: #E9F0F0"] Last Name: [/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Manyanya[/TD]

[TD="width: 20%, bgcolor: #E9F0F0"] Member Type: [/TD]
[TD="width: 38%, bgcolor: #E9F0F0"]Special Seat[/TD]

[TD="bgcolor: #E9F0F0"] Constituent: [/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]No Constituency[/TD]

[TD="bgcolor: #E9F0F0"] Political Party: [/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]CCM[/TD]

[TD="bgcolor: #E9F0F0"] Office Location: [/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]P.O. Box 77605, Dar es Salaam[/TD]

[TD="bgcolor: #E9F0F0"] Office Phone: [/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]+255 787 050050[/TD]

[TD="bgcolor: #E9F0F0"] Ext.: [/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"][/TD]

[TD="bgcolor: #E9F0F0"] Office Fax: [/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"][/TD]

[TD="bgcolor: #E9F0F0"] Office E-mail: [/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"][/TD]

[TD="bgcolor: #E9F0F0"] Member Status: [/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"][/TD]

[TD="bgcolor: #E9F0F0"] Date of Birth [/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"][/TD]
School Name/Location

[TD="bgcolor: #B4C6DB, colspan: 5"] EDUCATIONS [/TD]

[TD="width: 27%, bgcolor: #B4C6DB"] Course/Degree/Award [/TD]
[TD="width: 15%, bgcolor: #B4C6DB, align: center"] Start Date [/TD]
[TD="width: 13%, bgcolor: #B4C6DB, align: center"] End Date [/TD]
[TD="width: 10%, bgcolor: #B4C6DB, align: center"] Level [/TD]

[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Maguu Primary School, Mbinga[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]1970[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]1975[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]PRIMARY[/TD]

[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Songea Girls' Secondary School[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]Secondary Education[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]1976[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]1979[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]SECONDARY[/TD]

[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Dar Es Salaam Institute Technology (DIT)[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]Full Technician Course (FTC)[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]1980[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]1983[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]CERTIFICATE[/TD]

[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Dar Es Salaam Institute Technology (DIT)[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]Advance Diploma (Electrical Eng.)[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]1987[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]1992[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]ADV DIPLOMA[/TD]

[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Trodheim Technical Collage (NTNU) Norway[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]PGD (Electric Power Distribution System)[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]1995[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]1996[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]POSTGRADUATE[/TD]

[TD="bgcolor: #E9F0F0"]University of Dar Es Salaam (UDSM)[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]Post Graduate[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]2005[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]To Date[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]POSTGRADUATE[/TD]

[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Nambingi Primary School, Mbinga[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]1969[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]1970[/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0, align: center"]PRIMARY[/TD]

CV yake hiyo....kumbe huyu ni fundi mchundo tu.....

hahahaah,kumbe ndio maaana!! dah alitaka kutuzalilisha wahandisi huyu kihio na ashindwe kabisa...asingeweza kumaliza FOE pale huyu
 
Back
Top Bottom