Eng. Stella Manyanya atangaza vita

Huyu mama asubirie tu time yake ifike....Anachonga sasa hivi na kujifanya mjanja baada ya kupewa madaraka mara 2,cha kwanza katiba ibadilishwe then tutajua tu wapi pa kuwabana.....
 
Hapa ndio natamani ningekuwa na nguvu za uchawi ili nimloge Stella Manyanya ageuke nyanya nimtengeze kachumbari. This woman is a disgace to all Tanzanian women akifuatiwa na Anna Kilango. She sold her soul kwa cheo cha ukuu wa Mkoa na sasa anakitumia hicho cheo kutishia wananchi? Hivi anajua kwamba kuandamana ni haki ya raia kikatiba?

Nafurahi CHADEMA wametoka nje maana sasa hivi tunapata mwanya mzuri wa kuwajua hawa ccm. Siku tatu sasa wameshindwa kujadili vifungu vya muswada badala yake wanawasema CHADEMA! Nina hakika wabunge wengi wa ccm (kama sio wote) hawajui huo muswada unasema nini.
 
Huyu na Anna kilango wametishiwa kulishwa sumu nini mbona sasa wanaongea hovyo hovyo?

Tena wasidhani kuwa maandamano ni ya CDM ni yetu sisi wananchi wenye uchungu wa dhati kabisa na nchi yetu.
 
wanajamii mimi naona mfumo wa nchi ndo mbovu kwa sababu umejengwa kirushwa, pindi Stella anapewa ukuu wa mkoa yeye kwa akiri finyu hakutambua kuwa keshaongwa tayari so ameanza kuongea pumba kama mafisadi wenzake tunamuomba ajirekebishe tunapigania taifa letu tunataka taidfa safi ukuu wa mkoa si kitu kwani vinakuja na kupita.
 
kuna baadhi ya mianajike mijinga,sasa anauwezo wa kupambana na nguvu ya wenye nchi ajaribu ataona.
 
sasa manyanya kichwa chake kimeanza kuoza, nakumbuka akiwa tanesco aliutetea vizuri sana umma, sijui amelogwa huko sumbuwanga? nilitegemea awasapoti raia kuandamana ili kutetea haki yao ya kutengeneza katiba mpya, hadi hapo kunshiney, silolote si chochote, ni mwendawazimu tu.
 
Ndugu wanaJANVI wenzangu, leo katika kipindi cha bunge wakati wa kujadili mswada wa katiba mpya hatimaye Eng.Manyanya kapewa nafasi na kuzitoa hisia zake alizofikiri zinaendana na weledi wa elimu yake aliyopewa kwa upendeleo. Si semi kwa vile nina upendeleo na upande wowote ila nimeumizwa na kauli alizozitoa bungeni kuwafurahisha wanaomburudisha na kumpa vyeo alivyonavyo. Namnukuu "badala ya mashirika binafsi kutoa huduma kwa jamii yamejikita katika siasa ambazo kwakweli zinalalia upande mmoja, mashirika yanahamasisha mambo yanayoweza kuvunja amani yetu badala ya kupeleka huduma kwa wananchi kama yalivyosajiliwa kufanya". Tena nanukuu "Televisheni ya ITV iliyoanzishwa na waheshimiwa wenye lengo zuri la kuchochea maendeleo kwa watanzania imeanza kutumika kutoa taarifa zinazochochea uvunjifu wa amani na zinalalia upande mmoja". Je huyu ni injinia kweli?. mama mwenye nyazifa hajui kazi za mashirika binafsi na kazi za televisheni ni zipi, huyu kama kweli ni injinia hajui maana ya siasa?. Amewezaje kutofautisha siasa na huduma ambazo anataka mashirika yatoe.

Naomba kama kuna mtu wake wa karibu amtaarifu kwamba katudhalilisha mainjinia wenzake kutoa hoja kama mtu ambaye hakuwahi kutembelea mazingira ya shuleni. Namfundisha sasa MANYANYA ajue kuwa siasa ndo kila kitu na kama siasa iko tenge maana yake uongozi upo tenge na maisha ya watu yatakuwa tenge vilevile kama watanzania tulivyo sasa. Mashirika binafsi hayawezi kuleta ufanisi katika kazi zake kama mfumo uliopo ni tenge, hivyo, hizi siyo hoja zangu binafsi ila ukweli ndo ulivyo. Lazima kwanza mashirika yaielimishe jamii kuhusu maana ya siasa na madhara yake kama ikiwa tenge. Nageukia upande wa pili, MANYANYA hajui kazi za Televisheni?. Hajui kutofautisha televisheni na magazeti?. Nam'elimisha sasa, ajue kuwa kazi za TV ni kutoa taarifa, matangazo na matukio kwa sauti na picha, televisheni inawezaje kutoa taarifa ya uchochezi yenyewe? huu ni ujumbe wa watu fulani na sura zao kwa kutoa hisia na kuonesha wanachokifanya, televisheni haidanganyi na inasimulia ukweli kama ikimwonesha Dr. Slaa amezungukwa na watu wengi siyo uongo, ikionesha watu wanaongea mipango ya kuandamana kudai haki siyo uongo. TV siyo gazeti linaloweza kuwakilisha hisia na mawazo ya mhariri, televisheni ikiacha habari fulani hiyo ni rushwa kubwa yenye hukumu kama ya gadaff'. Manyanya angewambia wananchi kuwa ITV inapendelea kutoa habari nyingi za CHADEMA na kuziacha nyingi za CCM tungeweza kukubali japo hana ushahidi. ITV inafanya kazi zake vizuri haina woga wa kukumbatia tabaka la juu, mfano mzuri angalia TBC1 na utaona ujinga na ufinyu wa fikra unaosababishwa na kasumba za ombaomba, taarifa zinazohusu upinzani zikifika watangazaji wanatwambia kumradhi habari hiyo imeshindikana kutokana na kukatika kwa mitambo.

Naomba watanzania mtusamehe bure sisi mainjinia kwani tumegawanyika katika vitengo vingi, kama vile umeme,barabara,madaraja,nyumba,mizinga ya nyuki na uselemala. Pia darasani kwetu walikuwemo wanaosoma course ya THE HISTORY OF ENGINEARING.
 
GENERAL
SalutationHonourableMember picture
1334.jpg
First Name: Stella
Middle Name: Martin
Last Name:Manyanya
Member Type:Special Seat
Constituent: No Constituency
Political Party: CCM
Office Location: P.O. Box 77605, Dar es Salaam
Office Phone: +255 787 050050
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:
Member Status:
Date of Birth
EDUCATIONS
School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel
Maguu Primary School, MbingaPrimary Education19701975PRIMARY
Songea Girls' Secondary SchoolSecondary Education19761979SECONDARY
Dar Es Salaam Institute Technology (DIT)Full Technician Course (FTC)19801983CERTIFICATE
Dar Es Salaam Institute Technology (DIT)Advance Diploma (Electrical Eng.)19871992ADV DIPLOMA
Trodheim Technical Collage (NTNU) NorwayPGD (Electric Power Distribution System)19951996POSTGRADUATE
University of Dar Es Salaam (UDSM)Post Graduate2005To DatePOSTGRADUATE
Nambingi Primary School, MbingaPrimary Education19691970PRIMARY

CV yake hiyo....kumbe huyu ni fundi mchundo tu.....
 
Eng jamani !hivi wewe unainjinia kitu gani?kwa kuwa uuijinia wako ulishindwa na ukahepea kwenye siasa za kinafiki naona siku zako zinahesabika,naomba wakuhamishie Mbeya,Mwanza au AR.au subiri kidogo kisha utakiona cha moto kama tabia yako ndo hii.
 
Eng jamani !hivi wewe unainjinia kitu gani?kwa kuwa uuijinia wako ulishindwa na ukahepea kwenye siasa za kinafiki naona siku zako zinahesabika,naomba wakuhamishie Mbeya,Mwanza au AR.au subiri kidogo kisha utakiona cha moto kama tabia yako ndo hii.

Arusha hawezi kwenda,kuna EL anamlia timing siku akikosea tena akaingia ktk anga zake anafyatua!
 
Kaya sema hayo kama nani Mkuu wa mkoa au Mbunge, Kama RC anayo mamlaka ya kuongea bungeni? Kama Mbunge anayo mamlaka ya kushughulikia mtu kwa kutumia dola? Mkanganyiko wajuzi tufahamisheni Mgawanyo wa madaraka na haki za mihimili hiyo mitatu iko wapi?
 
....kama aliweza kuvua chupi ilikupata nafasi hii ni lazima awe mkali kuilinda!

Hivi kwa nini mtu akisema kile mtu usichopenda kusikia akiwa ni mwanamke lazima ukimbilie kumtukana?Jibu kwa hoja.
 
Back
Top Bottom