Eng. Stella Manyanya atangaza vita

Mkuu wa mkoa Wa Rukwa mh. Stella Manyanya ametangaza kuwashughulikia wale wote watakaoleta maandamano na vurugu hasa akiwalenga chadema ameyasema hayo wakati akichangia muswada Wa katiba.

Aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah huyu mama vipi.ana matatizo eheeeeeeeeeeee.
 
Mkuu wa Mkoa ni mwakilishi wa Serikali dhidi ya Wananchi.
Mbunge ni Mwakilishi wa Wananchi dhidi ya Serikali.
Sasa Mkuu wa Mkoa awe huyohuo M'bunge!!!!
Hii kitu inachanganya kwa kweli
Ndio mana tunahitaji katiba mpya inayompa mwananchi wa kawaida demokrasia ya kweli
 
Stella Manyanya?! Mbona huyu kuna wakati alionekana kama mpiganaji? Amebadilika lini? Au amelewa madaraka ya ukuu wa mkoa? Mpuuzi sana huyu mama.
 
Mkuu wa mkoa Wa Rukwa mh. Stella Manyanya ametangaza kuwashughulikia wale wote watakaoleta maandamano na vurugu hasa akiwalenga chadema ameyasema hayo wakati akichangia muswada Wa katiba.
Anatoa kauli za kimasaburi tu. Ptuuuuu!!
 
Bora anyamaze kimya! Cha kwanza kuangalia kwenye katiba mpya ni hilo la mbunge kuwa mkuu wa mkoa/wilaya! Hiyo vita amejitangazia mwenyewe maana itapiganwa dhidi yake! Amuulize Kandoro yaliyomkuta na kijivita chake cha Mbeya!
 
Mkuu wa mkoa Wa Rukwa mh. Stella Manyanya ametangaza kuwashughulikia wale wote watakaoleta maandamano na vurugu hasa akiwalenga chadema ameyasema hayo wakati akichangia muswada Wa katiba.
Manyanya! jina kama mzizi mpori!
 
Mkuu wa mkoa Wa Rukwa mh. Stella Manyanya ametangaza kuwashughulikia wale wote watakaoleta maandamano na vurugu hasa akiwalenga chadema ameyasema hayo wakati akichangia muswada Wa katiba.

mtu anaitwa manyanya na akili zake kama nyanya. kwanza yeye ni 'wa kuja' tu huko Rukwa kama mwenzake 'Magesa'.
 
Mkuu wa Mkoa ni mwakilishi wa Serikali dhidi ya Wananchi.
Mbunge ni Mwakilishi wa Wananchi dhidi ya Serikali.
Sasa Mkuu wa Mkoa awe huyohuo M'bunge!!!!
Hii kitu inachanganya kwa kweli

hapa umenikumbusha mwalimu wangu aliyenifundisha administrative law. Kipindi hicho alikuwa akiiponda sana serikali kuhusu separation of power. Hicho kitu wanachokiita separation of power ktk mihimili mitatu ya serikali kwa hapa tanzania hakipoooooo!!!!?
 
Mkuu wa mkoa Wa Rukwa mh. Stella Manyanya ametangaza kuwashughulikia wale wote watakaoleta maandamano na vurugu hasa akiwalenga chadema ameyasema hayo wakati akichangia muswada Wa katiba.

Vyeo vya kupeana hivi
Yeye mkuu wa mkoa wkt huo huo ni mbunge duhh hivi Rais anavyo teua mtu kuwa na kofia mbili mbili anakuwa na agenda gani kwa mtu huyo anae mpa madaraka kama huyu mama. Wenzangu hamuoni kama mmewe huyu mama akawa anamwelewa vibaya rais?
 
Nchi hii bana! Tunatumia vibaya vichwa makini tulivyonavyo kwa kuvipa vyeo..we acha tu!
 
Hilo ni KOSA kubwa sana, ndiyo maana wengi wetu hatutaki kuona WABUNGE wanateuliwa kuwa WAKUU wa MIKOA. Huwezi kuwa mtunga sheria na msimamizi wakati huo huo.

siyo kutoteuliwa tu! Hivi vyeo hawana kazi nchi hii zaidi ya uchochezi na kututia hasara. Vifutwe kabsaaaaa!
 
Mkuu wa Mkoa ni mwakilishi wa Serikali dhidi ya Wananchi.
Mbunge ni Mwakilishi wa Wananchi dhidi ya Serikali.
Sasa Mkuu wa Mkoa awe huyohuo M'bunge!!!!
Hii kitu inachanganya kwa kweli
Kwa hakika hapo kuna mgongano wa masilahi
 
Mkuu wa mkoa Wa Rukwa mh. Stella Manyanya ametangaza kuwashughulikia wale wote watakaoleta maandamano na vurugu hasa akiwalenga chadema ameyasema hayo wakati akichangia muswada Wa katiba.
Jamani! mbona kila siku kukicha ni vioja ndani ya CCM? najua ndani ya CCM kuna wachache ambao bado wako sane sasa kwa nini hawawaambii hao walio wengi na ni insane nini cha kufanya ili kuzuia aibu hii kwao wote? au nao wameiacha CCM kimya kimya?
Maana watu wanasema samaki mmoja akioza katika tenga ....../....
 
Back
Top Bottom