Eneo linauzwa makongo mwisho kuelekea kanisa katoliki karibu na josam apartment

ommytk

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
545
Reaction score
1,178
Wadau eneo linauzwa lipo makongo mwisho njia kwenda kanisa katoliki lina ukubwa sqm 2231 lina hati ya wizara.halina shida yoyote ni tambalale na bei ya kutupa linuzwa kwa ajili ya shida tu bei ni 300m
Karibu
 
Picha ili watu tuwe hata na hamu ya kutaka kukutafuta.
 
1000032757.jpg
 
zipo opposite na apartments za josam kwenye geti lake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom