Mimi ni Mkazi wa Pugu,Ninapokuwa njiani kuelekea kazini/Mjini nilikuwa nikishuhudia kuvunjwa kwa sehemu ya uzio wa shule na ujenzi wa frame za maduka....
Hiyo shule ni ya elimu ya Msingi Pugu Kajiungeni.
1. Je,hili suala ni linaruhusiwa...
2. Kama ni sawa ,mfumo wa uksanyaji pango na faida yake...
Wakazi wa Matosa - Goba DSM, hususan eneo la Shule ya Msingi More Light, tumekumbwa na changamoto kubwa ya ukosefu wa maji kwa takribani mwezi mmoja sasa.
Kila tunapouliza, tunaelezwa kuwa bomba linaloleta maji kutoka Uzalamoni limeharibika, hata hivyo, inashangaza kuona kuwa bomba hilohilo...
Anonymous
Thread
dar
eneoeneolashule
goba
maji
mmoja
msingi
mwezi
mwezi mmoja
shuleshule ya msingi
Eneo hili la shule linauzwa
Ukubwa wa eka moja na robo
Lipo Goba kwa Ndambi Eneo ambalo mteja anaweza kujenga hata apartments kwa Goba zinalipa sana.
Hapo ni Goba jirani sana na Mbezi Beach Masana
Bei ya kutupa Tsh 650m/- mazungumzo yapo
*Lina hati halali
Anauza kwa hasara sana ili...
ENEO LA SHULE LENYE MICHEZO YA WATOTO LINAKODISHWA/KUUZWA
Eneo la Shule lenye Madarasa kwa ajili ya DAY CARE & NURSERY LINAKODISHWA AU KUUZWA kwa mteja yeyote mwenye uhitaji wa kununua.
Eneo hili lenye Ukubwa wa takribani Ekari 2, lipo Dar esalaam Matosa, Goba na lina Madarasa 4,Nyumba 1 ya...
Eneo la shule linauzwa Dodoma , Mtumba Area karbu na mji wa Serikali.
Ukubwa wa eneo: Sqm 33,000
Bei: Tsh 10,000 kwa Sqm
Ni surveyed pot
Fixed Price
Interested njoo PM
Au
+254746360628 only whatsapp
Ramani ipo kwenye attachment
Baraza za Ardhi na Nyumba limetoa amri ya kuchukuliwa kiwanja cha michezo na mapumziko cha Shule ya msingi Mukirehe iliyoko wilayani Ngara.
Kufuatia uamuzi huo, aliyeshinda kwenye shauri hilo, amejenga uzio kuzuia wanafunzi kutumia kiwanja cha shule hiyo iliuyanza zaidi ya miaka 40 iliyopita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.