The fact files
Member
- Nov 5, 2019
- 74
- 42
Hao mafisi hawajui kutofautisha raisi na mwenyekiti
jamani fanyeni tathmini kwa usahihi mbowe si rais wa nchi ni mwenyekiti wa chama kama katiba ya chama chake kinaruhusu ,kama akiona yafaa , na kama akipewa tena ridhaa mimi ni nani niseme hatakiwi ...hivi tumejiuliza marehemu Mtikila, Mzee Cheyo..UDP ,Professor Lipumba , na Mrema nk ni wenyeviti wa chama tangu mwaka gani....Kwa mfano bwana Yule tangu anagombea urais mwaka 1995 tayari alikuwa mwenyekiti wakati huo nina miaka 9 leo nina mtoto ana miaka 9 bado tu.... Mwacheni Mbowe ..na wote ambao hawamtaki sio wa chama chake sijui kwa nini