EMS Huduma zenu sio

EMS Huduma zenu sio

Camilo_Cienfuegos

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
11,378
Reaction score
15,384
Parcels zinachukua muda mrefu kumfikia mlengwa. Zamani walikuwa wanatumia ndege baadae wakaacha. Wakati huo ilikuwa inawezekana parcel kutumwa leo kutoka DSM na kesho unaipokea Mwanza.

Sasa hivi EMS wanatumia magari yao, ambapo mzigo kutoka Tunduma kwenda DSM unatumia siku 4. Bukoba to Tunduma siku 10. Kuna Mndengereko mmoja amependekeza kuzuia kutuma parcels kwa kutumia mabasi, watumie Posta. What a nonsense!!!!

EMS anza kutumia huduma ya ndege, we need quick delivery of our parcels, achana na mambo yenu ya ujima.
 
Tumia mabasi private achana na wachimbachumvi wasiojua kutoa huduma bora
 
Hi ni kweli mkuu, niliwahi kutuma mzigo ulichukua zaidi ya wiki 2, na haukufika kwa walengwa, very sad
 
Niliangiza parcel kutoka USA, iliwasili nchini tarehe 24/09/2021, lakini mpaka dakika hii ya tarehe 15/10/2021 naandika hii post sijapokea hiyo parcel.
 
Back
Top Bottom