Nlimpenda sana michael Jackson hususan wimbo wake human nature
Nakupenda pia nakutaka pia... Mpenzi weeeeee
Two lovers in a scene... And she says do you love me.... Ukichanganya na vile vinanda kwa mbali basi hatari tupu
Michael jackson ni mwanamziki ambaye show yake ilikuwa inahudhuriwa hadi na viongoz wa serekali na sizani kama kuna mtu aliyevunja record ya kujaza watu kwenye show kama michael jackson.
Show za michael jackson zilikuwa hatari sana hadi fans wake walikuwa wanalia kwa furaha.
Napenda sana Michael Jackson alivyokuwa anajali mashabiki wake anawabusu akiwaambia "i love you,...i love you..."
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi
Napenda nyimbo zake zote ila zaidi napenda heal the world
Dirty diana ndio kiboko yangu rip legend
Me I liked most wimbo wa "Liberian girl". Una swaga za Kiswahili Fulani hivi. loh
hyo nyimbo kuna siku Michael alikuwa alitaka kuacha kuperform kwenye concert ambayo Princess Dianna Rose alkuwepo kutokana na mashairi kuwa yanamchana msichana fuani aitwaye Diana kwahyo Michael akaona itamdhalilisha Princess.... Princess Dianna akamwambia aiperform tuuu hamna nomaa kwanza hata yeye anaipenda
Witness naweza kupata documentary ya MJ tafadhali +255658522659