Emperor Michael Jackson

el nino

JF-Expert Member
Nov 5, 2013
4,712
5,033
Hapo zamani za kale wazungu walituaminisha kuwa hakuna atakayetokea au kuwakaribia kina John lenon, Paul McCartney na Crew yao nzima ya The Beatles, Bila kumsahau Elvis Presley as a single Artist..

Walituaminisha sana hadi alipotokea Michael Joseph Jackson, akavunjilia rekodi zao zote mbali na Kuweka jina lake kama The Best ever katika historia ya Biashara ya Muziki, huwezi ukafanya muziki wakuimba ukatamba katika biashara ya Muziki kidunia Bila kutembea katika nyendo za Michael...

Mashabiki wa Michael na Muziki kwa ujumla tushare picha za Michael jackson hapa..

Hebu tushare picha za Mfalme Michael hapa... ImageUploadedByJamiiForums1441477212.967937.jpg ImageUploadedByJamiiForums1441477235.783193.jpg
 
Inasemekana jamaa alikuwa na inferiority complex kwa kuona rangi na nywele za kizungu ni bora kuliko za kiafrika alizonazo, akaishia kufanya facial surgery/ kujichubua na kuvaa nywele bandia ili tu afanane na wazungu.
 
Kwa hilo si baya ni la kawaida tu na hata hapa bongo pia wapo tena siku hizi ni wengi tu
 
Inasemekana jamaa alikuwa na inferiority complex kwa kuona rangi na nywele za kizungu ni bora kuliko za kiafrika alizonazo, akaishia kufanya facial surgery/ kujichubua na kuvaa nywele bandia ili tu afanane na wazungu.

Michael jackson aliapa kuwakomeaha wazungu Baada ya kuwafuata kupromote album yake wakamwambia mtu mweusi hauzi kwenye magazine zao.... Alichowafanya kupitia album ya Thriller Hawatokuja kusahau
 
Ila hilo la inferiority complex unaliongeleaje?
 
Back
Top Bottom