The Intelligent
JF-Expert Member
- Dec 27, 2013
- 2,459
- 824
Kwa hilo si baya ni la kawaida tu na hata hapa bongo pia wapo tena siku hizi ni wengi tu
Si mbaya eti kwa kuwa bongo nako wapo eti?
Kwa hilo si baya ni la kawaida tu na hata hapa bongo pia wapo tena siku hizi ni wengi tu
Ila hilo la inferiority complex unaliongeleaje?
Hyo ilikuwepo na ipo sana kwa mablacks... Kumbuka michael jackson ndo mtu mweusi wa kwanza nyimbo yake kuchezwa Mtv... Hyo inaonyesha jinsi gani watu weusi walibaguliwa hadi kwenye muziki na watu weupe
Michael jackson alikuwa na ugonjwa unaitwa Vitiligo... Hajawahi kuusaliti uafrika...
Hebu tafuta huko ujue chanzo chake cha kuwa anabadilika Rangi
The wako jako
el nino@Shetani wa enzi hizi ni nani mkuu
Mbali na hayo wacko kutokana na mziki wake idadi kubwa ya waafrika walimuona kama snitch kwani walihisi unapiga saana mziki wa kizungu kuliko wa kiafrika. Hivyo akajikuta ana idadi kubwa saana ya mashabiki wa kizungu zaidi ya wakiafrika.
Hatimaye, akaona kuna haja ya kufanana na mashabiki wake ambao asilimia kubwa walikuwa wazungu kwa kuonekana kama wao. That's when surgery ilipozaliwa rasmi kwa michael.
Michael jackson alikuwa na ugonjwa unaitwa Vitiligo... Hajawahi kuusaliti uafrika...
Hebu tafuta huko ujue chanzo chake cha kuwa anabadilika Rangi
Estate ya michael jackson wametoa claim wameuza zaidi ya nakala bilioni moja za Michael joseph jackson.... Nashangaa kwanini hili suala haliwi acknowledge wakti msanii kama elvis ngoma zake zimeuzika marekani tuuu na sio worldwide kama Michaelkimauzo maiko hajamfikia elvis
nadhan el nino kaelewa maana alishasingizia kua ule ni ugonjwa flani wa ngozi ye haamini kama jamaa aliukana uafrika
Mbali na hayo wacko kutokana na mziki wake idadi kubwa ya waafrika walimuona kama snitch kwani walihisi unapiga saana mziki wa kizungu kuliko wa kiafrika. Hivyo akajikuta ana idadi kubwa saana ya mashabiki wa kizungu zaidi ya wakiafrika.
Hatimaye, akaona kuna haja ya kufanana na mashabiki wake ambao asilimia kubwa walikuwa wazungu kwa kuonekana kama wao. That's when surgery ilipozaliwa rasmi kwa michael.
Mahaba yako kwa MJ yasikutoe ufahamu...hakuwa na Vitiligo wala nini alijikwatua + 102 facials surgeries ili awe pure mzungu, madai yake ni kuteswa na mzee Joe utotoni so akatokea kuhate waafrika!
NB: nampenda sana jamaa kikazi lakini vitendo nah nah!..nina documentary yake takes 2hrs ina ishu zake zote.
Kama ngozi nyeupe iliweza kukubali ngozi nyeusi kwenye muziki wangekubali kwenye kila sehemu endapo watu kama michael jackson wataonesha kujali asili zao.