The Intelligent
JF-Expert Member
- Dec 27, 2013
- 2,459
- 824
Nnachojua mimi michael jackson alikuwa anaumwa Vitiligo ... Alichokuwa anafanya yeye mi make up tuu kufanya asiharibike ngozi yake.....
Reje ripoti ya kifo chake ... Mambo waliyogundua, ila surgery ya pua alifanya kweli kutokana na maisha yake yote kutaniwa ana pua kunwa akaona isiwe kesi
Wewe unakazana kumtetea kwa kuwa tu umesoma hiyo ripoti moja!!!!




