witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,830
- 47,773
hyo nyimbo kuna siku Michael alikuwa alitaka kuacha kuperform kwenye concert ambayo Princess Dianna Rose alkuwepo kutokana na mashairi kuwa yanamchana msichana fuani aitwaye Diana kwahyo Michael akaona itamdhalilisha Princess.... Princess Dianna akamwambia aiperform tuuu hamna nomaa kwanza hata yeye anaipenda
Diana Rose ndiye aliyevumbua kipaji cha MJ japo wako wengi lakini anamheshimu DR sana...kwenye WILL yake hadi kamuachia watoto wake awaleee just incase Catherine akidead...Nilichokuwa nampenda Michael ni ile kuwa na moyo wa UPENDO sana kwa kila mwenye tatizo na hasahasa kwa fans wake. I LOVE YOU MICHAEL.