Emma siku hizi umekuwa mvivu sana, kimoja kweli?

Yohimbe bark

JF-Expert Member
Sep 1, 2019
1,043
2,567
Leo nimepanda daladala naenda mjini kwenye mishe mishe, seat ya mbele alikaa mdada mmoja hivi alikuwa busy anachat kama mnavyojua macho hayana pazia nikabahatika kusoma ujumbe mmoja nanukuu" Emma siku hizi umekuwa mzembe sana yani kimoja kweli? Siridhiki ujue" asee nilijisikia vibaya kinoma mpaka tunafika mwisho wa safari Emma alikuwa bado hajajibu sms. Tufanyeni mazoezi wakuu😂.
 
Leo nimepanda daladala naenda mjini kwenye mishe mishe, seat ya mbele alikaa mdada mmoja hivi alikua busy anachat kama mnavyojua macho hayana pazia nikabahatika kusoma ujumbe mmoja nanukuu" Emma siku hizi umekua mzembe sana yani kimoja kweli? Siridhiki ujue" asee nilijisikia vibaya kinoma mpaka tunafika mwisho wa safari emma alikua bado hajajibu sms. Tufanyeni mazoezi wakuu😂.
Watu wanapitia mengi sana
 
Acha umbea.

20240222_225229.jpg


PambanaZaidi/CottonandMore
 
Back
Top Bottom