Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,180
- 138,470
Nimesikitishwa sana na mzushi na muuza kipindi cha Dk.45 ITV bwana Buhohela.Bwana huyu amezusha kuwa Mnyika hajawahi kufika toka achaguliwe katika eneo la Manzeshe ambalo limepatwa na adha ya mfereje wa maji machafu kutokana mvua.Amenukuu wananchi bila kuonyesha script ya wananchi wakiongea hayo kuhusu Mnyika.Tunajua changamoto za wakazi wanaoishi mabondeni lakini usimzushie kiivo kamanda