Itv is everywhere watu wameshaona na ujumbe amepata lakini kwani uongo? Amefanya nini tangu amekuwa mbunge?
Labda ulitaka afanye nini wewe ndo uone kafanya nini
Itv is everywhere watu wameshaona na ujumbe amepata lakini kwani uongo? Amefanya nini tangu amekuwa mbunge?
Labda ulitaka afanye nini wewe ndo uone kafanya nini
Kwani wengine wamefanya nini? Mbona kawe hawamlalamikii Halima Mdee ni kwamba anatatua matatizo yao Mnyika ktk ahadi alizotoa hakuna hata moja aliyotimiza hata kuonekana tu hakuna.
Inaonekana ahadi alizoweka unazijua sana haya zitaji na tuone kama hajazikamilisha zote izo
Kwani mbunge anatakiwa afike kila mahali? Hao wenyeviti wa serikali za mtaa wanafanya nini? Mbona mheshimiwa kabisa hajawahi fika kijijini kwetu kwa miaka 9 aliyokuwa madarakani na hatajalalamika? Tunajua sio lazima yeye afike maana ana wawakilishi wake
Jamaa Mwigulu kamweka Mfukoni.
wakihojiwa na ITV wakazi wa manzese kutoka jimbo la Ubungo wamelalamia utendaji mbovu kupita kiasi wa mbubge john mnyika. ""tangia mvua hii inyeshe ni mate so maji yamejaa ndani kwa kuwa hakuna mitaro ya maji na mbunge hajawahi kuja eneo hili kutatua kero hii tutamwadhiby 2015."" aliisika mmoja akise.ma.
jimbo la Ubungo Lina shida kubwa ya maji sass no mwez maji hamna, barabara ni mbovu yani mnyika is very weak.. leader
Kwani wengine wamefanya nini? Mbona kawe hawamlalamikii Halima Mdee ni kwamba anatatua matatizo yao Mnyika ktk ahadi alizotoa hakuna hata moja aliyotimiza hata kuonekana tu hakuna.
Yaani kuzibua mifereje inahitaji usaidizi wa mbunge?
Baadhi ya Watanzania ni wapumbavu sana...
ndo mnayoilalamikia serikali kila kukicha,,,, mnadhani kuongoza taifa hili ni mchezo!
mnyika nimewahi kuhudhuria mikutano yake miwili manzese akiwa mbunge, kwa hiyo amefika mara kadhaa kwa kuwa sikuweza kuhudhuria mikutano yoooteHakumaanisha kufika kwa kwenda kutembelea bali kufika kikazi I mean kama Mbunge. ...alafu acha kutetea ujinga mnyika mbona hana chake kura zake ziko kimara-mbezi huku kwingine hana kitu.