Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,942
- 43,599
Huyo buholela kipindi cha dk 45 tu kimemshinda, sembuse ya mnyika.
Hivi una uhakika alikuwa Buholela au unafata mkumbo?Kwanza mwandishi husika hana kosa lolote sema Bavicha mmezoea kulialia.
Huyo buholela kipindi cha dk 45 tu kimemshinda, sembuse ya mnyika.
Kwani wewe unaishi manzese si wananchi wa manzese ndio wamesema
Hawa vibaraka wa chadema ni watu wa ajabu sana.....hivi nyinyi ni watu gani msiopenda challenge yaan mnataka kila siku msifiwe tu........zitto is WHO?
Nimesikitishwa sana na mzushi na muuza kipindi cha Dk.45 ITV bwana Buhohela.Bwana huyu amezusha kuwa Mnyika hajawahi kufika toka achaguliwe katika eneo la Manzeshe ambalo limepatwa na adha ya mfereje wa maji machafu kutokana mvua.Amenukuu wananchi bila kuonyesha script ya wananchi wakiongea hayo kuhusu Mnyika.Tunajua changamoto za wakazi wanaoishi mabondeni lakini usimzushie kiivo kamanda
Diwani wa Ubungo, ndugu Boniface, jiandae kisaikolojia, hapo October.
Kwa hiyo Buhohela anaishi Manzese maana yeye ndiye aliyetamka kuwa Mnyika hajawahi kufika huko na sio wananchi aliowahoji kama kweli angekuwa anamaanisha alichokiongea angetuwekea script yenye kuonyesha mwananchi akiyasema hayo aliyoyasema tofauti na hivyo ni yeye tunayemuingiza kwenye ujinga wa kushambulia wabunge wa Upinzani kupitia tasnia yake ya Habari
Hawa vibaraka wa chadema ni watu wa ajabu sana.....hivi nyinyi ni watu gani msiopenda challenge yaan mnataka kila siku msifiwe tu........zitto is WHO?
Bavicha mtaponzwa na ujinga wa kulialia unafikiri yeye ametunga?
nimesikitishwa sana na mzushi na muuza kipindi cha dk.45 itv bwana buhohela.bwana huyu amezusha kuwa mnyika hajawahi kufika toka achaguliwe katika eneo la manzeshe ambalo limepatwa na adha ya mfereje wa maji machafu kutokana mvua.amenukuu wananchi bila kuonyesha script ya wananchi wakiongea hayo kuhusu mnyika.tunajua changamoto za wakazi wanaoishi mabondeni lakini usimzushie kiivo kamanda
siyi buhohela.
Yule ni sam mahela!
Kwa hiyo Buhohela anaishi Manzese maana yeye ndiye aliyetamka kuwa Mnyika hajawahi kufika huko na sio wananchi aliowahoji kama kweli angekuwa anamaanisha alichokiongea angetuwekea script yenye kuonyesha mwananchi akiyasema hayo aliyoyasema tofauti na hivyo ni yeye tunayemuingiza kwenye ujinga wa kushambulia wabunge wa Upinzani kupitia tasnia yake ya Habari
Wewe ndiye unayeponzwa na UJINGA,Tunasema ametunga kwa kuwa hakuweka ushahidi sasa kati ya sisi na wewe ni nani mjinga hapa wewe unayeamini taarifa isiyo na ushahidi na sisi tunaoona kuwa huyo mwandishi ametunga hiyo habari na lengo lake ni kufukuzia uDC.
usishangae bavicha ni waropokaji na wakurupukaji kama vioongozi wao!
kwanza mi nimesikiliza vizuri tu wananchi walikuwa wanamlalamikia diwan hawajamtaja mnyika hawaa jamaa wanamatatizo sana hawafanyi kazi kwa waledi kabisaa
Mnyika hajatembelea jimbo lake tangu achaguliwe
Nenda katembelee wewe sasa
Wanautaka ubunge wakati hawauwezi.
Wewe si unauweza nenda katembelee wewe
Magamba sijui mkoje kwaiyo kila anapoenda kwa wananchi wake awe anaita vyombo vya habari na kuvitaalifu kua anaenda eheee