Email yangu imekuwa blocked

Kiresua

JF-Expert Member
May 13, 2009
1,184
259
Wapendwa wana Jf, ni juzi tu niliistal W7 kwenye mashine yangu, baada ya hapo nikalog Yahoo, uups! Invalid pasword, nikajaribu ya my waifu wangu, invalid pasword. Kiukweli nimepaniki sana kwani ina mambo yangu mengi mno. Na mbaya zaidi alternative email niliyosajili nilishaisahau kwani nilifungua miaka 11 iliyopita. Jamani kwani kuna njia ya msaada jamani? Asanteni sana!
 
Ahsante kwa kupost,simply coz hata mm y kwangu hivyohivyo aisee. Ngoja tusubiri ushauri.
 
Da sasa nafanyaje wapendwa, maana hi kitu imekula callori zangu za kutosha. Nimepaniki mno. It is very important to me!
 
Hackers ndani ya nyumba! Wataarifu watu wako wa karibu kuwa wataombwa hela kwa email yako.
Pole mzee. Jaribu kufungua account mpya ya yahoo uone itakuwaje. Halafu achana na hiyo email yenye hadi barua za wachumba wa chuo, fungua gmail ama ymail baba!
 
Kubadili Windows hakuwezi kufanya password yako isifanye kazi, watakuwa wameotea password yako, ndo basi tena. Fungua mpya.
 
Wapendwa wana Jf, ni juzi tu niliistal W7 kwenye mashine yangu, baada ya hapo nikalog Yahoo, uups! Invalid pasword, nikajaribu ya my waifu wangu, invalid pasword. Kiukweli nimepaniki sana kwani ina mambo yangu mengi mno. Na mbaya zaidi alternative email niliyosajili nilishaisahau kwani nilifungua miaka 11 iliyopita. Jamani kwani kuna njia ya msaada jamani? Asanteni sana!

nadhani umesahau password yako

Inawezekana kabla kubadilisha OS to W7 uliset cookies hivyo ulikuwa huna haja ya kukumbuka charcaters za password iwe ni yako au ya mwenza wako.

Sasa kitendo cha kubadilisha OS kimefuta cookies . invalid password unayopata maana yake ni invailid . Ni kwamba hukumbuki. Wasiliana na yahoo
soma na fuata maelezo haya watakusaidia .
 
kuna option ya 'forget password' hapo watakupatia security question ulijaza wakati wa kujisajili.. Mfaano mahali ulipozaliwa.. Na ukijaza sahihi basi utapewa option ya kuweka password mpya. Au details hizo zitapelekwa ktk email nyingine ikiwa uliweka ktk altenate email.
 
Wapendwa wana Jf, ni juzi tu niliistal W7 kwenye mashine yangu, baada ya hapo nikalog Yahoo, uups! Invalid pasword, nikajaribu ya my waifu wangu, invalid pasword. Kiukweli nimepaniki sana kwani ina mambo yangu mengi mno. Na mbaya zaidi alternative email niliyosajili nilishaisahau kwani nilifungua miaka 11 iliyopita. Jamani kwani kuna njia ya msaada jamani? Asanteni sana!

Na mm pia nimepatwa na tatizo hilo hilo,tena mi ni yahoo Id zangu zote mbili zinagoma kufunguka na cjasahau password. Invalid password ndo nnachoambulia nnapohitaji ku-sign in kwa kutumia computer. Nimejaribu kufungua nyingine mpya yenyewe inafanya kazi vizuri.

Cha kushangaza ni kwamba nkaamua kutumia mobile 4n na nkafanya configuration ili ni-synchronize emails zangu kwa kutumia the same password iliyokataa kwenye PC,Huh!! All my emails were downloaded into my 4n. So natumia cmu to send and receive emails. Bado cjapata solution Y I can't sign in from my PC?!
 
Back
Top Bottom