Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,376
- 111,705
Sisikilizi nyimbo zake tena!!
Ina maana miaka yote hukujua kuwa Elton ni chakula ya watu?
Sisikilizi nyimbo zake tena!!
Mimi hata siamini mambo kama haya.
Baaada ya takriban miaka 21,hatimaye gwiji la muziki wa ''pop'' ''Sir'' Elton John amefunga ndoa na mpenzi wake David Furnish.haya ukistaajabu ya musa....
![]()
![]()
![]()
![]()
acheni watu waishi kwa Uhuru mambo ya kunyoosheana vidole haryana mana huyo mungu wako(kama yupo) kakukataza mangapi mbona bado unafanya??? universe might become a free place to live without any fear of something do anythngs you like bora humuingili mtu its OK watanzania we need to change at all
Sisikilizi nyimbo zake tena!!
Kama hatakuelewa hapa basi naye atakuwa mkumbo mmoja na akina John EltonHapa siongelei hadithi naongelea kitu ambacho hata wewe kwa akili yako fupi utaelewa tu.
Ni hivi:-
Kazi ya mdomo ni nini?
Kazi ya pua nini?
Je unaweza kuchukua chakula ukakiingiza puani na kuanza kutafuna?
Jibu ni kwamba haiwezekani sababu pua imeumbwa kwa ajili ya kuvuta pumzi safi nje na kutoa pumzi chafu nje, sio sehemu ya kuingizia wala kutolea chakula.
Sasa hapa sihitaji kukupa maelezo kirefu nafikiri kama ni mtu mwenye akili timamu utakuwa umeshanielewa vizuri sana
Dini zingine zinafuata matakwa ya wazungu wanafanya nini sii Mungu ametuamrisha nini
MH HUYU SHETANI HUYU !!!
Sasa na hako katoto wanakafundisha nini? Kama ni kakike katakuwa kasagaji nahisi au kama ni kakiume katakuwa nacho kinakula au kinaliwa....Hii balaa katoto kanakuwa kakiona maovu tangu udogo !!
acheni watu waishi kwa Uhuru mambo ya kunyoosheana vidole haryana mana huyo mungu wako(kama yupo) kakukataza mangapi mbona bado unafanya??? universe might become a free place to live without any fear of something do anythngs you like bora humuingili mtu its OK watanzania we need to change at all
Mhh shem wewe kwani ulikuwa hulijui toka mwanzo jamaa anakandamizwa nao..? Halafu ana nyimbo nzuri lakini..
Ina maana miaka yote hukujua kuwa Elton ni chakula ya watu?
mchenzii huyu hanijui vizuri nitamchana marinda
nitamnywea pweza hanijui
Natoa hoja wapenzi wa nyimbo zake(Sacrifice ooooh,), wamsusie abaki na kazi moja ya kuolewa,
akifilisika ataachika.
Candle in the ............... the.............. the rectum!
Mi kitambo tu sisikilizi tangu ajitangaze kuwa ni bwabwa
Nilishafuta nyimbo zake kwenye storage yangu muda mrefu sana.
nilishakosa hata mzuka wa kuangalia show zake siku nyingiii..
Sisikilizi nyimbo zake tena!!