Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,174
Hapa siongelei hadithi naongelea kitu ambacho hata wewe kwa akili yako fupi utaelewa tu.
Ni hivi:-
Kazi ya mdomo ni nini?
Kazi ya pua nini?
Je unaweza kuchukua chakula ukakiingiza puani na kuanza kutafuna?
Jibu ni kwamba haiwezekani sababu pua imeumbwa kwa ajili ya kuvuta pumzi safi nje na kutoa pumzi chafu nje, sio sehemu ya kuingizia wala kutolea chakula.
Sasa hapa sihitaji kukupa maelezo kirefu nafikiri kama ni mtu mwenye akili timamu utakuwa umeshanielewa vizuri sana
Naomba uwaelimishe wote wanaotumia mdomo kunyonyana nyeti zao.