Baaada ya takriban miaka 21,hatimaye gwiji la muziki wa ''pop'' ''Sir'' Elton John amefunga ndoa na mpenzi wake David Furnish.haya ukistaajabu ya musa....
Hua napata hasira sana nikiona mambo haya.kuna shoga moja nalifahamu liko Shinyanga kuna siku lilipita karibu yangu tukapishana mtaani kidogo nilipige ngwala lidondoke mtaloni,nikasikia kitu kinaniambia liache hukumu yake yaja
acheni watu waishi kwa Uhuru mambo ya kunyoosheana vidole haryana mana huyo mungu wako(kama yupo) kakukataza mangapi mbona bado unafanya??? universe might become a free place to live without any fear of something do anythngs you like bora humuingili mtu its OK watanzania we need to change at all
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.