Elon Musk: Similiki Nyumba nalala kwa marafiki

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
21,856
38,774
Elon Musk(50) tajiri namba 1 duniani amesema hadi sasa hamiliki nyumba yoyote hata kulala huwa analala kwa marafiki zake licha ya utajiri wake kukadiriwa kuwa zaidi ya dola bilioni $200.

Amesema hana interest sana na material things, kitu cha kifahari alichonunua ni ndege ambayo inamsaidia kufanya kazi zake vizuri.

Tajiri huyo namba moja duniani pia amesema hamiliki yatch wala sio mtu wa kusafirisafiri kwenda nchi hii au nchi ile kwa ajili ya mapumziko na kula bata ambao ni mtindo wa maisha uliozoeleka kwa matajiri wengi wakubwa duniani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utashangaa yupo Mtanzania ni mwalimu au winga ana familia ya watoto watatu hapo alipo mkewe ana ujauzito huku wanaishi nyumba ya kupanga chumba na sebule lakini anakaza shingo kusema huyu jamaa ndiyo role model wake so kwanini ajenge duniani anakopita.

Wenyewe wanakwambia kujenga ni uoga wa maisha mbona Elon Musk hana nyumba na anaishi.
 
Na wewe kenge ukaona utolee mfano walimu waliokupunguza ujinga
 
Hii habari ni ya kweli wana JF, tuseme hivyo.

Maana hata kama sio ya kweli utafaidika nini?
Mda mwingne nikufunika kombe, hamna kukaza kichwa...
 
Back
Top Bottom