N'yadikwa JF-Expert Member Joined Aug 10, 2014 Posts 8,261 Reaction score 12,661 Jun 11, 2025 #21 A mission designed to collect personal data from individuals worldwide proceeds. Haya pelekeni hizo data zenu!
A mission designed to collect personal data from individuals worldwide proceeds. Haya pelekeni hizo data zenu!
Tanganian JF-Expert Member Joined Jan 27, 2025 Posts 7,128 Reaction score 12,154 Jun 11, 2025 #22 Bongo kazi siasa tu , eti wana Phd na masters hawana kipya ....Ujinga tu elimu na kuelimika ni matokeao sio kutoa matamko ..Wenzenu wanaonesha kile wanachojifunza , nyie eti mna Phd za kukusanya sadaka ni watu wa hovyo .
Bongo kazi siasa tu , eti wana Phd na masters hawana kipya ....Ujinga tu elimu na kuelimika ni matokeao sio kutoa matamko ..Wenzenu wanaonesha kile wanachojifunza , nyie eti mna Phd za kukusanya sadaka ni watu wa hovyo .
Azul JF-Expert Member Joined Sep 10, 2021 Posts 742 Reaction score 1,590 Jun 11, 2025 #23 Equation x said: Ubongo wa binadamu unafanana kweli kwa wote? Click to expand... Hahaha nafikiria tupo tofauti, wenzetu wanawaza ssna vitu kwa ajili ya dunia ya kisasa.. Sisi ni kama maiti, tumekufa hatuwazi kabisa
Equation x said: Ubongo wa binadamu unafanana kweli kwa wote? Click to expand... Hahaha nafikiria tupo tofauti, wenzetu wanawaza ssna vitu kwa ajili ya dunia ya kisasa.. Sisi ni kama maiti, tumekufa hatuwazi kabisa
hearly JF-Expert Member Joined Jun 19, 2014 Posts 54,391 Reaction score 80,371 Jun 11, 2025 #24 Noma 🔥🔥